Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Gwajima ni msomi asie jitambua,mm nikimuonaga mwanaume ambae amekalia mipasho,umbea,kutukana kila mmoja ,dharau namuona ni mjinga sana.Kwa mfano swala la kuambia waislam kuwa miskiti ataifanya Sunday schools wakati anajua hii nchi haina dini alikosea sana na itamkost sana.
 
Ogopa sana mtu anayezunguzia mtu badala ya vitu!!
 
Hata lile bus alilopanda kutoka koromomije bado linafanya kazi, yaani huyo kwa dar bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah🤔 Yani bado Kuna watu wanajisifia kuwahi kufika hapa dar...? Wanaoijenga dar ndio, hawahawa wakuja, wewe Basi lako ulilo panda kuja dar, huenda halifanyj kazi, Ila Ni mlala hoi, endapo tutaamua kukulinganisha nae😂😂😂.Acha mihemko ya siasa,ujue kabisa unapigania matumbo ya wenzako, Ohooo ..!😂😂😂
 
Huyu Gwaji boy hana hata

Huyu Gwaji boy hana maneno ya staha hata kwa walio marehemu.

Bi. Kidude ni marehemu (rip). Pia ana jamaa zake wenye kutumia mno kwa kuondokewa naye. Ustaarabu gani huu wa kutumia majina halisi ya marehemu kwenye upuuzi wake?

Huyu alipaswa kukemewa na wote wapenda haki.

Eeh mola wetu na ukajidhihirishe ukuu wako dhidi ya wao wote wenye kujiinua kwa kibri na kujidhania kuwa wao ndiyo wao na hayupo mwingine zaidi yao.
 
 
Bi Kidude alikuwa muislamu..hivi huyo nabii koko ana shida gani na waislamu
sisi waislam tunampenda sana na hatuna shida nae, tunshida na ww kafir usiye mjua mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…