Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

Asante kwa ufafanuzi mzuri kuhusu hao waamaleki.

Ni watu waliowanyanyasa sana waisraeli mpaka waisraeli wakatamani wawafute kwenye uso wa dunia...swali la kujiuliza huyu AMALEKI anayemzungumzia Gwajima ni nani haswa??
Nahisi atakuwa amemlenga COVID-19 anaesumbua, kunyanyasa na kuwatesa Watanzania na dunia kwa ujumla.
 
Magufuli alipokuwa anasimama madhabahuni na kuongea upuuzi wake hukuyaona haya?
 

Komaa nao hapo hapo baba askofu hauko peke yako:

 
Naona wanamchekea
 
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Vitu kama hivi ni vizuri sana, kwasababu ndio vitathibitisha huyu ni mtumishi wa Mungu wa kweli au ni mtumishi wa mungu tuu!.
Kama ni mtumishi wa Mungu kweli, ndani ya saa 72, Amaleki anang'olewa!, lakini kama ni mtumishi wa Mungu tuu, mnaweza kukuta ndio kwanza, anayengolewa ni yeye!.
Na tusubiri hizo saa 72!.
P
 

Mkono wa baunsa alikua anajiona ana nguvu sana halafu sasa kalowana
 
Mwaka wako huu. ongeza juhudi upewe ata u Ukuu wa wilaya teh teh teh
 
View attachment 2048240

Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.

kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Wengi tunamuunga mkono kwa njia ya Novena isiyo na kikomo kumng'oa amaleki! [emoji23]
 
Kwa hiyo mfalme Amaleki yupo hapa nchini? Basi aondoke kwa kweli naona watu wameshataharuki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…