Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

SHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]
Usilazimishe tafsiri yako ndiyo itumike. Muda mwingi ni upi na hizo siasa ni zipi za kupinga tu au na zile za kuunga mkono. Kuna madhehebu mpaka yanafikia kuita watawala ni wateule wa Mungu mbona hayo hupendekezi yafutwe?
 
Namjua Amaleki.Jina lake la kwanza linaanza na herufi "S"😁😁😁
 
Ndugu wakigombana wahenga walituambia

SHIKA JEMBE UKALIME

Kwan muda wowote watapatana na wewe uliyeamulia utaonekana mnafiki kwakupendelea upande mmoja
Kuna wakati huwa hawapatani na wanakataa hata kuzikana.
 
Usilazimishe tafsiri yako ndiyo itumike. Muda mwingi ni upi na hizo siasa ni zipi za kupinga tu au na zile za kuunga mkono. Kuna madhehebu mpaka yanafikia kuita watawala ni wateule wa Mungu mbona hayo hupendekezi yafutwe?
Laws reformations is a must for all religions institutions
 
Askofu angeanza kwa kufunga,kuvunja Yale maagano ya mapangoni bagamoyo.Moja ya masharti waliyopewa "UHURU mtapata lakini lazima nchi iwe masikini" hawa wazee wapumbavu Sana kukubali masharti ya kijinga toka kwa shetani.
Kuwa huru lakini haupo huru dhidi ya umasikini ni kuruka mkojo.
Ni bora tusingekuwa huru lakini tupo huru dhidi ya umasikini,maradhi na ujinga.
 
View attachment 2048240

Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.

kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwa hiyo huyu alieleta hii habari hapa ndio mpotoshaji. Maana yake hapa inatakiwa ulete habari iliyonyooka,sio kuanza kufumbua mafumbo,nani alisema hiki na yupi ni yupi. Mood futa huu uzi

Msiyachukue mambo ya kiroho yanayohubiriwa kanisani mkayaoeleka kwenye siasa.
Wewe ndiye unaonaka hujui kiroho wala siasa. Amalek ni nani? Siasa ni nini na kiroho ni kitu gani? If you don't kow, ask or else keep kimya. Hapa anapigwa Amalek!.
 
SHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]
Chuki iko wapi hapo??

Amaleki imeandikwa kwenye Biblia (neno analosimamia Gwajima)

Na kwa mujibu wa Biblia, uzao wa amaleki wako Duniani hata leo. na Mungu mwenyewe alitangaza Vita na Amaleki Milele.

Sasa Gwajima ana kosa gani hapo??
 
Back
Top Bottom