Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Mchango wa Halima ni Mkubwa hata kuchambua hoja check bunge lililoisha alivowaburuza wabunge wa CCM wakaishia kwenye muongozo muongozo badala ya hoja.Baada ya October itunze hii comment utajicheka baadae halima mdee hawezi kutoboa
Usiseme hivyo mkuu, siasa haitabiriki.Hebu acha mzaha! Gwajima ana hofu ya Mungu? hivi kwanini huwa mnalichezea hivyo jina la Mungu? yaani anavyokusanya misukule pale ubungo tayari unamwita Gwajima ana hofu ya Mungu? Hebu tupinge.....Gwajima akipitishwa na CCM hawezi kushinda jimbo lolote hapa Dar es Salaa, hawezi! Kama amewapiga upofu wafuasi wake sio sisi wapiga kura wa Kawe!
Hilo jukumu unalosema 'zito la kisiasa' ni lipi? Au ni kuunga mkono kila hoja inayopelekwa huko?Kama Jukumu Mama tu la Kuwatumikia Waumini wake ameshaonekana amelishindwa je, ataliweza kweli Jukumu hili zito la Kisiasa huko Bungeni?
Naamini unatania.Katika watu niliokuwa natamani siku moja aingie bungeni ni Gwajima.
Anakuaga na point sana za maswala mbalimbali yahusuyo nchi coz ana exposure kubwa ya nje.