Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Mchango wa Halima ni Mkubwa hata kuchambua hoja check bunge lililoisha alivowaburuza wabunge wa CCM wakaishia kwenye muongozo muongozo badala ya hoja.Baada ya October itunze hii comment utajicheka baadae halima mdee hawezi kutoboa
Gwaji abakie kupiga injili ndio eneo lake,kule ataenda mkosea Mungu wake tu maana kule hata uongo ni lazima useme ni ukweli.Siasa ilimfanya mama lwakatare alazimike kutoka nje ya ukweli.
Siasa ni uongo na ulaghai. Dini ni haki na kweli.Atapata tabu kuwatumikia mabwana wawili.Mungu na kaizali