Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Baada ya October itunze hii comment utajicheka baadae halima mdee hawezi kutoboa
Mchango wa Halima ni Mkubwa hata kuchambua hoja check bunge lililoisha alivowaburuza wabunge wa CCM wakaishia kwenye muongozo muongozo badala ya hoja.

Gwaji abakie kupiga injili ndio eneo lake,kule ataenda mkosea Mungu wake tu maana kule hata uongo ni lazima useme ni ukweli.Siasa ilimfanya mama lwakatare alazimike kutoka nje ya ukweli.

Siasa ni uongo na ulaghai. Dini ni haki na kweli.Atapata tabu kuwatumikia mabwana wawili.Mungu na kaizali
 
Hebu acha mzaha! Gwajima ana hofu ya Mungu? hivi kwanini huwa mnalichezea hivyo jina la Mungu? yaani anavyokusanya misukule pale ubungo tayari unamwita Gwajima ana hofu ya Mungu? Hebu tupinge.....Gwajima akipitishwa na CCM hawezi kushinda jimbo lolote hapa Dar es Salaa, hawezi! Kama amewapiga upofu wafuasi wake sio sisi wapiga kura wa Kawe!
Usiseme hivyo mkuu, siasa haitabiriki.
 
Katika Jimbo ambalo hata CCM wenyewe wanaliogopa ni Kawe.

Mpaka Sasa hakuna fununu ya Nani atagombea kawe.

Gwajima huyu aliyehusishwa na Dawa za kulevya, mauno mpaka harmonize kamuimba kwenye unoo. Hapa CCM mtakula za uso mapema Sana Kama mkimisimamisha Askofu.

Huyu amebarikiwa kula madhabahuni angeendelea tu kula huko. Tayari Kuna hilba za udini Tena mnaenda kutuongezea maaskofu Tena bungeni so itakuwa balaa zaidi. Kila kheri lakini akipita huyu msukuma tutaamini nchi ni Dola.
 
Hata msigwa wa CHADEMA ni mchungaji.
Hata Rais wa Malawi mnayemsifia ni mchungaji pia.
Imekula kwenu chadema.
Jamaa mapemaaaa

2020
 
Kama Jukumu Mama tu la Kuwatumikia Waumini wake ameshaonekana amelishindwa je, ataliweza kweli Jukumu hili zito la Kisiasa huko Bungeni?
Hilo jukumu unalosema 'zito la kisiasa' ni lipi? Au ni kuunga mkono kila hoja inayopelekwa huko?

Kama waliokuwepo huko waliweza hilo jukumu kwanini yeye ashindwe?

Gwajima ni bora kuliko baadhi ya wabunge wengi waliokuwepo kwenye bunge la Ndugai.
 
Watampa kwa kuwa anamtaji na ndiye anaweza kukaondoa kale ka-kibedui.
Pia kameshajiharibia Sana bungeni.

2020
 
Wewe dada una maneno makali.
Nashauri ajiwekeze viti maalum Tu labda ndio atafanikiwa.

2020
 
Mbona jimbo lla ubungo linarukwa rukwa sana wanamuogopa kubenea
 
Ivi kwanini Mapadri na Maaskofu wa dhehebu la Katoliki hawafanyagi haya mambo ya kugombea?
 
Ni kweli Halima amejitahidi kwa kufanya sehemu yake aloweza kufanya.

Lakini bado kuna mambo ya msingi yamekwama ktk ufumbuzi kwa kushirikiana na Serikali.

Tunahitaji mabadiliko!

Scientific research zimethibitisha pasina shaka kuwa changes leads into improvements always.
 
Mbowe (2015) aliwahi kusema ukimchukua hata malaika ukampeleka Ccm kesho ukienda kumchukua utamkuta amebadilika na kuwa shetani.
 
Back
Top Bottom