Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Historia ipi ya Slaa? au kununuliwa akaenda canada kufichwa na CCM? Huko kawe CCM watapora uchakachuaji tu lakini sanduku la kura wananchi watamchagua mdee tu
Kizazi kitakachokuwa kinatumia vichwa kufikiri na si kutenganishia masikio pekee kitatambua tu how visionary Dr Slaa was!

Nyie mliolemazwa na propaganda uchwara hii wala haiwahusu.

Huo uchakachuaji huwa ni excuse tu kwa losers wote, kwa sisi tuoamini kilichopo kwenye scoreboard huo msamiati hatuna kwenye KAMUSI zetu.

MDEE OUT!
 
Hili zee la kumbato kondooo linataka kwenda kutafuna malaya wa mjengoni
 
Bora kaingia mzima mzima kuliko Pengo na yule muhuni wa Bakwata wanakula na kupuliza.Atachokutana nacho ataadithia waumini wake.
Ila atakuwa kaaidiwa viti maalumu.
 
Huna akili ?
 

Kama Jukumu Mama tu la Kuwatumikia Waumini wake ameshaonekana amelishindwa je, ataliweza kweli Jukumu hili zito la Kisiasa huko Bungeni?
 
Kusema kweli ni haki yake kugombea. Na huyu akigombea na anavyojua kuutumia mdomo wake lazima watu watampigia kura tu. Tanzania ni rahisi sana kushinda ubunge ukiwa unajulikana.
Hata ww anakubeba mzima mzima...
 
Barabara ya Makonde hadi Baraza la Mitihani.
Miaka yote inapigiwa chapuo lakini hakuna chochote miaka nenda rudi.
 
Alaaa kumbe?!

Ngoja tusubiri mchujo wa kura za maoni!

Wakifanya makosa hapo jimbo watalipoteza tena kwa mara nyingine
Yaani Ubunge wa sasa ni hatari CCM watakusanya fedha kwenye kuchukua form just imagine ubungo wagombea 20,kibamba wamefika 17!! Nashangaa Kitila kakaidi maagizo ya JIWE anagombea Ubungo ina maana anapiga chini ukatibu mkuu WM.
 
KAWE MBUNGE WETU NI MUTA RWAKATARE (CCM) AU HALIMA MDEE ( CHADEMA).

WENGINE WOTE WANAKUJA KUUZA SURA TU ILI WAONEKANE NA WAO WALIGOMBEA.

GWAJIMA HANA TOFAUTI NA JECHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…