Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

Huyu Mtatiro enzi tupo chuo pendwa na yeye ni Rais wetu, alikuwa na akili za kuhoji, sijui zimeenda wapi?

Kweli hakuna mkate mgumu, mbele ya chai. 😁
Kalamaganda alipokua anashika chaki alikua jembe na nusu.
Huwezi kuamini alipofanya kazi ya MSD .
 
kwahiyo unataka akunyandue na wewe?
 
Hivi umeshindwa hata kupitia bible kabla ya kuinukuu? Ni wapi mamajusi walisema na Yusuf kwenye bible, kwa msaada soma Matayo 2:13-15
Nguvu ya mamajusi ndio ile ile ya malaika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kwani Askofu Gwajima kapita na mkeo au huwa una mshikia mguu ya hao wanawake wakati anazini nao kiasi cha kumpakazia hapa namna hii!
 
Dah eti kusema wauaji wa Mzee Mohammed Kibao hawajapatika ni ujinga.

Nchi inapitia kipindi kigumu sana.
 
Mkuu kwani Askofu Gwajima kapita na mkeo au huwa una mshikia mguu ya hao wanawake wakati anazini nao kiasi cha kumpakazia hapa namna hii!
Gentleman,
huyo muungwana alizini na kumuambukiza ukimwi muumini wake kwa makusudi huku akiwa ana jirikodi kabisa video ya ngono dah πŸ’
 
Kitu pekee anachoweza ulizia Msando ni Gigi Money yuko wapi akashike papuchi. Stupid.
 
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?πŸ’
ccm na machawa ndo wana mtafuta... bi chura kila akifungua domo anamtaja Gwajiboy. Nadhani hata akifumba macho anamuona akitema cheche za ufufuo na uzima!
 
kwani nani anamtafuta huyo mzinifu mpotoshaji, anaetafuta kiki za kijinga?πŸ’
Tutajie alipopotosha.

Kwahiyo kukemea utekaji na mifano aliyotoa nikupotosha? Kuna siku yatakukuta kwa njia yoyote.
 
Mtatiro ajikalie kimya tu ,uwakili kautafuta miaka 9, leo anataka ashindane na kibatala mitandaoni
Halafu leo nimefunga. Mh Mtatiro katupigisha sana mabomu alivyokua cuf tukimpigania awe mbunge. Ndio maana mimi nimejikita ktk kujipendekeza kwa muumba wangu na sio kwa binaadam mwenzangu
 
Hivi mamako alipona kweli kupitiwa na kisuuzio cha Bishop? Maana alikuwa hakosekani kwenye ibada!
hakuna haja ya kua na mihemko na uropokaji gentleman,
Askofu mzinifu kuwaambukiza ukimwi waamini wake kwa makusudi, inasikitisha sana aise πŸ’
 
Tutajie alipopotosha.

Kwahiyo kukemea utekaji na mifano aliyotoa nikupotosha? Kuna siku yatakukuta kwa njia yoyote.
tuanzie kwenye uzinzi wake na kuwaambukiza ukimwi waamini wake kwa makusudi gentleman,

huko kwenye drama hakuna haja kubababika nako sana πŸ’
 
ccm na machawa ndo wana mtafuta... bi chura kila akifungua domo anamtaja Gwajiboy. Nadhani hata akifumba macho anamuona akitema cheche za ufufuo na uzima!
mzinifu wa kuambukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi atamfufua nani gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…