[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda Youtube uone vichekesho. Ameshageuka. Sasa hivi anasema masimamo wa Magufuli kwenye corona utafanya wamarekani wapange foleni kwenye ubalozi wa Tanzania huko kwao kwa nia ya kuomba visa za kuja kuishi Tanzania. Kwa kifupi amesema hakuna watanzania watakaokimbilia tena kwenda Ulaya na USA bali wao ndiyo watapigana vikumbo kuja kwetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo km 1400 anamaanisha barabara kila mtaa kwa mtaa au?
Km 1400 si masiharaHizo km 1400 anamaanisha barabara kila mtaa kwa mtaa au?
Yea. Unataka kuleta ishu ya oportunity cost au?Ulisoma Economics?
Anaongea sana tatizoKwa hiyo aliacha uchungaji ili akalielie bungeni, kama kutoka Dar kwenda Mwanza ni zaidi ya km. 1700, inawezekana vipi Dar-Kigoma iwe 1400, au ndo ujanja ujanja wa kutafuta kiki, basi aendelee kubweka huenda hata hiyo 130 akaitafuta kwa tochi....
Hebu wapime tena urefu wa hizo barabara maana nina wasiwasi na huo urefu. Yaani jimbo la Kawe lina jumla ya Km 14000 za barabara, mbona ni Km nyingi saana???? Kindly revisit the measurement please!!!Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu.
Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani wao wanahitaji kupewa fungu kubwa la fedha za ukarabati kuliko Tanroads.
Gwajima alikuwa akichangia hotuba ya Rais Magufuli bungeni jijini Dodoma leo.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Umeambiwa 1400km siyo 14,000 bwashee!Hebu wapime tena urefu wa hizo barabara maana nina wasiwasi na huo urefu. Yaani jimbo la Kawe lina jumla ya Km 14000 za barabara, mbona ni Km nyingi saana???? Kindly revisit the measurement please!!!
Asante nashukuru sana. Hata hizo 1400 ni nyingi sana.Umeambiwa 1400km siyo 14,000 bwashee!
unadhani kupelekwa usa ni kama kwenda amsterdam kwa bwana lissu!!!Wana Kawe ashawapeleka usa?? au anasubiri korona ipungu pungue kwanza kdg
[emoji1][emoji1][emoji1]wewe hapo unataka kumchanganya tena na aliishachanganyikiwa kabla.Kwani Mdee ashawahi kuwa Mpinzani?
Hii ni elimu unaweza ipata kwa wajasiria mali, Nunua vitabu soma, hudhuria madasa yao utapata majibu kwa nini Nchi zao nimeendelea na zetu zinadumaa. Nanini Serikali ifanye ili Nchi iwe Tajiri. Kwa mwanafunzi anayetaka majibu kwa ajili ya kufaulu mtihani aende kwa Prof.Zitaje mzee. Pengine kuna mwanafunzi wa Public Economy utampa majibu akikutana na hilo swali.
Ni mimi
Hehehe mjasiriamali atoe majibu ni vipi nchi itashughulikia budget deficit? Hahaha dahHii ni elimu unaweza ipata kwa wajasiria mali, Nunua vitabu soma, hudhuria madasa yao utapata majibu kwa nini Nchi zao nimeendelea na zetu zinadumaa. Nanini Serikali ifanye ili Nchi iwe Tajiri. Kwa mwanafunzi anayetaka majibu kwa ajili ya kufaulu mtihani aende kwa Prof.
Tushaambiwa tutengeneze passport kwanzaWana Kawe ashawapeleka usa?? au anasubiri korona ipungu pungue kwanza kdg