Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

Kiongozi mambo yanayoendelea nchini kwetu hayapo poa, hamna mwenye akili timamu anaweza kukubaliana nayo. Mimi nachopambana nacho ni kuwaabudu hawa wanasiasa na kuamini wao ni miungu na hawakosei, ni wahuni tu hawa. Siwezi kupelekeshwa na watu kama Mbowe, Msigwa, Lissu, Zitto, Heche, Samia, Bashiru, Polepole, Mbatia, Magufuli (Marehehemu) na wengine wa aina hiyo, hao wote wapo team moja, wanapigiana simu kila siku na kupeana mikakati jinsi gani wanavuta hela za mabeberu. Wewe endelea kuwaamini (kama siyo mmoja wao).
 
Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi itatupa Watanzania nguvu kubwa sana ya kuchagua Viongozi tuwatakao kuanzia Madiwani, Wabunge na Rais hivyo mtutu wa bunduki hautatumika tena kupora kura zetu
Chadema ikiwa madarakani ikivurunda baada ya miaka mitano inapigwa KIBUTI chama kingine kinashika madaraka.
Hicho ndiyo tukitakacho Watanzania wengi na siyo maccm kung’ang’ania madarakani kwa kutumia njia HARAMU na mtutu wa bunduki.




 
Unaamini Abubakar akikamata madaraka atakubali kuachia? Kama alionjeshwa huko CDM miaka kumi ya kwanza na sasa anaenda 20, atawezaje kuachia kirahisi BOT?
 
Makosa yaliyofanywa 2015 ya kumkaribisha fisadi Lowassa hayatarudiwa tena. Mamluki MARUFUKU Chadema. Kama chama ukitaka uchaguzi huru na wa haki basi ni LAZIMA uhakikishe uchaguzi ni huru na wa haki 110% hivyo uwe tayari kuyakubali matokeo vinginevyo kapinge mahakamani.
Unaamini Abubakar akikamata madaraka atakubali kuachia? Kama alionjeshwa huko CDM miaka kumi ya kwanza na sasa anaenda 20, atawezaje kuachia kirahisi BOT?
 
Wengi ambao unawaona makamanda mkuu wapo kwenye payroll, zinatengenezwa figisu mabeberu wajue kuna upinzani tz ili hela zao ziliwe, huyo jamaa yetu hata hayupo mahabusu. Ila endelea kuamini hao watu
 
Naomba kuuliza kuwa is it ethical kwa kiongozi wa kiimani kujihusisha na shughuli za kisiasa directly kama anavyofanya Gwajima?!
It's not ethical

Usiniulize imeandikwa wapi. OVA
 
Siamini hilo wanasiasa Malaya hata maccm wako wengi tu lakini Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi itatusaidia sana kuwaondoa hawa kwani tayari Watanzania tunawajua wengi wao hivyo kwenye uchaguzi huru na wa haki HAWATAAMBULIA chochote kile.
Wengi ambao unawaona makamanda mkuu wapo kwenye payroll, zinatengenezwa figisu mabeberu wajue kuna upinzani tz ili hela zao ziliwe, huyo jamaa yetu hata hayupo mahabusu. Ila endelea kuamini hao watu
 
Hahaha nimeona mahubiri yake . amemsifu rais kila dakika. Huyu lazma atachanjwa ni swala la muda tu .

kasema baada ya kutoa msimamo ambao umejibiwa na mijitu isiyo na imani Jumapili ijayo anatoa “Msimamo Juu ya Msimamo.”

Na pia atatoa shule juu ya vyakula vya kupambana na Covid na kisaidia shughuli za mke na mme kitandani
 
Gwajima network sasa hazisomi!
 
Ha ha ha! Keshaitwa hiyo na kamati Kuu kujieleza!!!! Alidhani yuko huu ya mamlaka!!!!
 
Ha ha ha!
 
Kweli CCM imechoka ..

Hii nayo ndio mbinu waliyokuja nayo kufanya hadaa?
 
Hii ndio tunaita kubadili gia angani!
Yaani Gwajima atajijua Kama alikuwa ni kinyonga anabadilika rangi kufuata upepo wa maslahi Wafuasi wa Magufuli tunamtangaza Kama adui wa Magufuli hata Kama alimpa ubunge shenzi type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…