Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,
CCM ingeuingia uchaguzi?
NB: Nchi hii bado tuna watu wenye akili nzuri za kuongozwa na Mungu, Lissu, Gwajima,Polepole, Warioba,Butiku,Shivji,nk walinndwe na Mungu kwa Gharama kubwa ya maombi.
Kwa kweli HATOGOMBEA.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Nawasilisha 🙏