GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hilo swali nilishaliuliza toka Julai 9 mwaka huu!


Sitaki kusema Gwajima kalitoa kwangu hilo swali maana ni swali la common sense tu.

CCM wasingekubali kushiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi inaundwa na Tundu Lissu ambaye naye akiwa mgombea wa uchaguzi pia.
Sasa wanataka Nini kitokee Ili waelewe kwamba huko wanakotupeleka siko?
 
Salaam!

Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,

Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,

CCM ingeuingia uchaguzi?

Kwa kweli HATOGOMBEA.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Mlete Gwajima ajibu mashtaka ya kumwaga sumu kwa wananchi. Kuleta maneno ya kuharibu amani ya TZ.
 
Kukemea utekaji SI kosa, ni jambo jema la kumpongeza.
Uliwahi msikiliza mahubiri yake huko mazabahuni. wewe unaangalia tukio moja, lakini sumu aliyewanywesha wafuasi wake kila alipokuwa akiwahubiria ni hatari. Asitutoe kwenye Reli, akaripoti polisi.
 
Uliwahi msikiliza mahubiri yake huko mazabahuni. wewe unaangalia tukio moja, lakini sumu aliyewanywesha wafuasi wake kila alipokuwa akiwahubiria ni hatari. Asitutoe kwenye Reli, akaripoti polisi.
Acha upumbavu,

Shtaka hufunguliwa kwanza Kisha mshtakiwa hupelekewa wito kutokea Mahakamani,

Unadhani Gwajima ni lofa kama WEWE?
 
Acha upumbavu,

Shtaka hufunguliwa kwanza Kisha mshtakiwa hupelekewa wito kutokea Mahakamani,

Unadhani Gwajima ni lofa kama WEWE?
Povu la nini? Nakurudisha kwenye mada. Asijifiche, TZ hakuna vita, akaripoti kwanza Polisi atapewa maelekezo, hata yeye mwenyewe kataja Polisi kwenye hotuba yake.
Ndani ya siku 10 kama hatakwenda kuripoti Polisi ndio ombi lake litafikiriwa. Mpaka tar 25/8.
 
Salaam!

Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,

Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,

CCM ingeuingia uchaguzi?

Kwa kweli HATOGOMBEA.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Wakati yeye alipogombea ubunge 2020, hivi pale aliposhinda alitangazwa na nani? Kwanini hakuzungumzia Reforms hizi wakati ule kabla ya kugombea ubunge au hata baada ya kushinda ubunge.

Huyu naye Polepole mwingine, washindia TUMBO. Analilia tumbo lake tu.
 
Hilo swali nilishaliuliza toka Julai 9 mwaka huu!


Sitaki kusema Gwajima kalitoa kwangu hilo swali maana ni swali la common sense tu.

CCM wasingekubali kushiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi inaundwa na Tundu Lissu ambaye naye akiwa mgombea wa uchaguzi pia.
Wamefunika kichwa ndani ya mchanga kana mbuni
Hoja hii ni nzito sana,

Wasimuige Mbuni, mbuni hana akili, hakujalliwa!
Swali ni jepesi sana! Ila ni gumu kulijibu.

Yaani... Wanatufanya sote tuonekane hamnazo!
 
Wakati yeye alipogombea ubunge 2020, hivi pale aliposhinda alitangazwa na nani? Kwanini hakuzungumzia Reforms hizi wakati ule kabla ya kugombea ubunge au hata baada ya kushinda ubunge.

Huyu naye Polepole mwingine, washindia TUMBO. Analilia tumbo lake tu.
Akili inazaliwa na kukua! Huwezi kuwakataza wenye mawazo chanya Leo kwa hoja kwamba hapo kabla walikuwa wapi!
Jibuni hoja za Bishop Gwajima. Kama hamna majibu pigeni kimya!
 
Wengine tumekuwa tukiyasema haya tokea mwaka 2000!
HAKIKA!
Cha ajabu watu wanataka kuona REFORMS kwenye soka la TFF kwa kutumia misingi ya fairness!
Lakini kwenye michakato muhimu ya kisiasa matumbo yanawaongoza kufanya tofauti!
 
Nawe unakoment usichokifahamu. Uchawa tu umewazidi. Nikikwambia ungekuwa mwanamke hadi mda huu ungekuwa umeingia period mara 10000.
Wewe leta hoja ya kumtetea lisu, acha hizo porojo za kijinga za period.
 
Yaani kwa sababu wewe ni kichaa, basi unafikiri na wengine wote unaowaona mbele yako wanaokota makopo barabarani kama wewe. Acha ujinga.
Endelea kujipa moyo. Naona unataka mpaka jamaa yako aende milembe ndo ujue kuwa uwezo wake wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi.
 
Chama chake kina desturi ya wagombea kupata wadhamini 250 mikoa ya Tanzania! Je hili zoezi alilifanya lini? Huu uchaguzi ni batili!
 
Back
Top Bottom