GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Salaam!

Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,

Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,

CCM ingeuingia uchaguzi?

Kwa kweli HATOGOMBEA.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Hayo ndiyo ameyajua leo? Pumbav zake
 
Wewe mwenyewe ni kichaa ndiyo maana unateka, unaua unapora Luzuku, unazuia mikutano na kuwabambikia kesi za uongo chadema, kichaa chako kimekufanya uwasemee wapiga kura kwa kuwaona ni vichaa kama wewe shetani mkubwa, Tambua kuwa Rais wa Zambia wa sasa na Rais wa Senegal wa Sasa walitoka jela wakapigiwa kura nyingi baada ya wananchi kukerwa na Uonevu manyanyaso ya Serikali kwa wapinzani, hakuna mabaya yasiyo na mwisho wapo wapi akina Rungu, Chiluba, Elbashiri, mabutu, Bokasa, iddy Amini Dada, makaburu wa Africa kusini?
We funza umechanganyikiwa
 
Salaam!

Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,

Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,

CCM ingeuingia uchaguzi?

Kwa kweli HATOGOMBEA.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Hilo swali nilishaliuliza toka Julai 9 mwaka huu!


Sitaki kusema Gwajima kalitoa kwangu hilo swali maana ni swali la common sense tu.

CCM wasingekubali kushiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi inaundwa na Tundu Lissu ambaye naye akiwa mgombea wa uchaguzi pia.
 
Salaam!

Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,

Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,

CCM ingeuingia uchaguzi?

Kwa kweli HATOGOMBEA.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Swali muhimu sana, tuwe taifa la haki na ukweli.Kwa tume hii haivutii kwenda kupiga kura kabisa
 
Salaam!

Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,

Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,

CCM ingeuingia uchaguzi?

Kwa kweli HATOGOMBEA.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Nawasilisha 🙏
Alipopewa favor na magu wakati hakuna hata mshindi wa kura za maini ccm mwenyekiti wa NEC aliteuliwa na papa?
 
Rais wa nchi gani, ya kufikirika? Ni kichaa peke yake anayeweza kumchagua lisu kuwa rais.
Nawe unakoment usichokifahamu. Uchawa tu umewazidi. Nikikwambia ungekuwa mwanamke hadi mda huu ungekuwa umeingia period mara 10000.
 
Rais wa nchi gani, ya kufikirika? Ni kichaa peke yake anayeweza kumchagua lisu kuwa rais.
Yaani kwa sababu wewe ni kichaa, basi unafikiri na wengine wote unaowaona mbele yako wanaokota makopo barabarani kama wewe. Acha ujinga.
 
ibilisi wa ccm hawajui kuwa kumtesa kumuonea lisu ndiko kunamzidishia umaarufu na kumuongezea wafuasi zaidi

Matatizo ya kusoma kwa kukariri past papers na kudesa then ukapata ukubwa! No common sense wanajua kila issue inatatuliwa kwa nyundo (polisisiemu)
 
Back
Top Bottom