Mbowe anakula pesa zao kama mchwa keshawajua wamezubaa sasa kazi yake ni udalali kuchukua Chadema legelege wale wasariti wale watu wa hovyo kama Yericko Nyerere kigaila mrema kileo mzee wa Tindikali, Salum mwalimu mzee wa uzinzi na unafiki kuwauza kwa ibilisi wa ccm na wao kuwasokomeza kwa chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccmMaCCM ni majitu matutusa sana
AmeeeenJosephat Gwajima ni big brain.
Aongezewe ulinzi na Mungu wetu🙏
Kama kumvalisha hijabu Yeriko Nyerere kwenda kutoa ushahidi wa Uongo mahakamaniCcm wanafanya kitu wanachokijua.
Salaam!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,
CCM ingeuingia uchaguzi?
Kwa kweli HATOGOMBEA.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Nawasilisha 🙏
Haya maswali magumu magumu muulizeni Bibi au yule kiongozi wa wahuni.Salaam!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,
CCM ingeuingia uchaguzi?
Kwa kweli HATOGOMBEA.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Nawasilisha 🙏
Kwa hiyo zile hela za mliman city zitaenda wapi?Hakuna uchaguzi, nawashangaa wanaccm wanaotoa rushwa
Mbowe kaanza kula hizo pesa na yericko Nyerere waidhoofishe chadema na kuhakikisha Lisu anafia jela au akitoka anakuwa dhaifu ili mbowe afanye mapinduzi kama yale ya Lipumba CUF arejee chadema kwa njia haramu za kishetaniKwa hiyo zile hela za mliman city zitaenda wapi?
Ebu usionge hivo
Hivi unajua sisi wasanii tunasubiri kipenga tufungulie nyimbo zetu tulambe asali
Wampopoe tu ila wajue wakishupaza shingo,he will be back in 20 days ....Kuna wajinga watampopoa badala ya kujibu hoja zake!
Chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm na mbowe watakula hizo pesa kuliko hata ibilisi wa ccm wenyeweKwa hiyo zile hela za mliman city zitaenda wapi?
Ebu usionge hivo
Hivi unajua sisi wasanii tunasubiri kipenga tufungulie nyimbo zetu tulambe asali
Basi atakua Rais wa Vichaa, maana hao ndo wengi zaidi kuliko wana CCM wasiokua na ubongoRais wa nchi gani, ya kufikirika? Ni kichaa peke yake anayeweza kumchagua lisu kuwa rais.
Katiba inamtolea wapi ?!Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anateuliwa na Katiba ya JMT
Ila kwa sababu ya uchanga wetu hatuelewi hilo 😄
We hupendi kulamba asaliChauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm na mbowe watakula hizo pesa kuliko hata ibilisi wa ccm wenyewe
kuna watu wasiojitambua walianza kuibeza NO REFORMS, NO ELECTION!Salaam!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,
CCM ingeuingia uchaguzi?
Kwa kweli HATOGOMBEA.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Nawasilisha 🙏
Kumbe!Pole pole yuko half time ngoja twende na Gwaji boi kwanza😂
kuna watu wasiojitambua walianza kuibeza NO REFORMS, NO ELECTION!
#free Lissu#
#no reforms, no election#![]()
Basi atakua Rais wa Vichaa, maana hao ndo wengi zaidi kuliko wana CCM wasiokua na ubongo