Uchaguzi batili mwaka huu UTAYEYUKACCM inaendesha Nchi huku ikiamini Watanzania wako sawa na watu wa Enzi za mawe.
Mwisho wao umefika Rasmi
Hakuna uchaguzi, nawashangaa wanaccm wanaotoa rushwaUchaguzi batili mwaka huu UTAYEYUKA
Walitaka kumuua ila Mungu akazuiaJosephat Gwajima ni big brain.
Aongezewe ulinzi na Mungu wetuπ
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anateuliwa na Katiba ya JMT
Aligoma kufa,Walitaka kumuua ila Mungu akazuia
Kumbe!Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anateuliwa na Katiba ya JMT
Ila kwa sababu ya uchanga wetu hatuelewi hilo π
Katiba imteue Kailima kada wa CCM?Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anateuliwa na Katiba ya JMT
Ila kwa sababu ya uchanga wetu hatuelewi hilo π
Ukada ni dhambi yake binafsiKatiba imteue Kailima kada wa CCM?
Acha hizo.
Ccm wanafanya kitu wanachokijua.Salaam!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,
CCM ingeuingia uchaguzi?
Kwa kweli HATOGOMBEA.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ.
Nawasilisha π
HahahaUkada ni dhambi yake binafsi
Ila Katiba ya JMT ndio imeweka nafasi ya Mkurugenzi wa Uchaguzi na Sifa zake π
Kuna wajinga watampopoa badala ya kujibu hoja zake!Salaam!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,
CCM ingeuingia uchaguzi?
Kwa kweli HATOGOMBEA.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ.
Nawasilisha π
Rais wa nchi gani, ya kufikirika? Ni kichaa peke yake anayeweza kumchagua lisu kuwa rais.Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais
MaCCM ni majitu matutusa sanaSalaam!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake,
CCM ingeuingia uchaguzi?
Kwa kweli HATOGOMBEA.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ.
Nawasilisha π
Wewe mwenyewe ni kichaa ndiyo maana unateka, unaua unapora Luzuku, unazuia mikutano na kuwabambikia kesi za uongo chadema, kichaa chako kimekufanya uwasemee wapiga kura kwa kuwaona ni vichaa kama wewe shetani mkubwa, Tambua kuwa Rais wa Zambia wa sasa na Rais wa Senegal wa Sasa walitoka jela wakapigiwa kura nyingi baada ya wananchi kukerwa na Uonevu manyanyaso ya Serikali kwa wapinzani, hakuna mabaya yasiyo na mwisho wapo wapi akina Rungu, Chiluba, Elbashiri, mabutu, Bokasa, iddy Amini Dada, makaburu wa Africa kusini?Rais wa nchi gani, ya kufikirika? Ni kichaa peke yake anayeweza kumchagua lisu kuwa rais.