Unadhani Gwaji boy kuna kitu hata kimoja anakijua basii sema anafikiri anajuaKama kutembelea Marekani , kuzungumza Kijapan na kuandika vitabu vitano kwa Kijapan vilivyopo Amazon ndo kigezo cha kutokuwa kilaza, hapa Mtumishi anajaribu kutuambia nini kuhusu Magu ambae hajaenda Marekani, hajaandika vitabu vitano sio tu kwa Kijapan na kuviuza huko Amazon bali hajaandika hata kwa lugha ya Kisukuma let alone kwa Kiswahili na hatimae kuviuza angalau kwenye meza za magazeti kama afanyavyo Shigongo?!
Kwa hiyo hapo unamjibu mwanamke mwenzio au sio? 😀 😀 Je mithali na mafumbo yaliyoandikwa katika vitabu vitakatifu ilikuwa mipasho?lugha za mafumbo na vijembe hupendelewa kutumiwa na wanawake. nashindwa kukuelewa comrade.
Hakika imeandikwa " mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili "
Jinga kweli jamaa..... Aendelee kuhadaa waumini wake misukule lkn sio wanakaweHivi kweli Vitabu vitano Kwa Lugha ya Kijapan vimeandikwa na Gwajima vikauzwe Amazon? Huyu Askofu ana Swagga sijapata kuona. Vimeandikwa nini Kwa Kijapan mbona hasemi? Kawe wanahitaji Vitabu Kwa Kijapan au huduma za Jamii? Gwajima anakujua Malolo?
Wale wateja wake anaowadanganya kufufua wafu hapo hapo sijui alindwa kumfufua mama mzazi wake.Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake?
Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Anasema atawapeleka marekani wankaweNdio ujue utapeli wa huyu jamaa ulipojificha
Kamtukana baba yako?Bora mchezaji porn kuliko Mdee anayeshinda Twitter akitukanana na watu.
Povu la nini bwana mdogo?. Mchezo hauhitaji hasira.Kamtukana baba yako?
Huko si ndiko maccm wanasema ni kwa "mabeberu!"? au wakienda kwa mgongo wa fisiemu hawendi ubeberuni?Anasema atawapeleka marekani wankawe
Kuna mengine simtofautishi askofu huyo na wale kina kamchape!! In Gwaji voiceWale wateja wake anaowadanganya kufufua wafu hapo hapo sijui alindwa kumfufua mama mzazi wake.
Gwajima ana zaidi ya sera, has the capacity ya kupanga na kutekeleza kwa fedha yake mwenyewe ya mfukoni, bila kutegemea fedha za serikali.mkuu Umekubali kuwa Gwajiboy hana sera...
Fedha zake hizo amezipata kwa Biashara gani? Kama ni sadaka za kondoo ambao ameshindwa hata kuwajengea Zahanati au Chekechea ya watoto wao, huo ni uzushi.Gwajima ana zaidi ya sera, has the capacity ya kupanga na kutekeleza kwa fedha yake mwenyewe ya mfukoni, bila kutegemea fedha za serikali.
P
At least hao maustaadhi hawagombei sasa wew gwaji bichwa nazi unatukana waislam alafu unataka wakupe kura siyo dharau kweli hizo?Wataje maustadhi wapi hao na maneno gani hayo?
Nani aliwahi kusema kuwa atafanya makanisa kuwa misikiti na lau angesema hivyo wangekuwa washamfungulia shitaka la ugaidi
Ni mpuuz sana huyo mzeeKuna mengine simtofautishi askofu huyo na wale kina kamchape!! In Gwaji voice
Mtu yoyote ambaye ni kiongozi wa kidini, au wa kiroho, fedha zozote alizo nazo, amepewa na Bwana!, sio jukumu letu kuhoji amezipata wapi, kazi yenu iwe ni kushuhudia jinsi fedha hizo zinavyotenda kazi.Fedha zake hizo amezipata kwa Biashara gani? Kama ni sadaka za kondoo ambao ameshindwa hata kuwajengea Zahanati au Chekechea ya watoto wao, huo ni uzushi.
Bwashee wewe hutaki kusafiri?Anasema atawapeleka marekani wankawe
Ukristo umetufundisha woga sana ndio maana Mabeberu wanaweza kututawala badoMtu yoyote ambaye ni kiongozi wa kidini, au wa kiroho, fedha zozote alizo nazo, amepewa na bwana!, sio jukumu letu kuhoji amezipata wapi, kazi yenu iwe ni kushuhudia jinsi fedha hizo zinavyotenda kazi.
P
Amen!Mtu yoyote ambaye ni kiongozi wa kidini, au wa kiroho, fedha zozote alizo nazo, amepewa na Bwana!, sio jukumu letu kuhoji amezipata wapi, kazi yenu iwe ni kushuhudia jinsi fedha hizo zinavyotenda kazi.
P