Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Kama kutembelea Marekani , kuzungumza Kijapan na kuandika vitabu vitano kwa Kijapan vilivyopo Amazon ndo kigezo cha kutokuwa kilaza, hapa Mtumishi anajaribu kutuambia nini kuhusu Magu ambae hajaenda Marekani, hajaandika vitabu vitano sio tu kwa Kijapan na kuviuza huko Amazon bali hajaandika hata kwa lugha ya Kisukuma let alone kwa Kiswahili na hatimae kuviuza angalau kwenye meza za magazeti kama afanyavyo Shigongo?!
Unadhani Gwaji boy kuna kitu hata kimoja anakijua basii sema anafikiri anajua
 
Tapeli wa kiimani mla Kondoo , mjasiria dini , mchumia tumbo ni muongo was kutupa soma hapa chini
IMG_20200914_141421.jpg
IMG_20200914_123308.jpg
 
lugha za mafumbo na vijembe hupendelewa kutumiwa na wanawake. nashindwa kukuelewa comrade.
Kwa hiyo hapo unamjibu mwanamke mwenzio au sio? 😀 😀 Je mithali na mafumbo yaliyoandikwa katika vitabu vitakatifu ilikuwa mipasho?
Izoeshe akili kufikiri dunia inahitaji wenye maarifa, akili na upeo kufikiri sio kila kitu utafuniwe mkuu ndugu yangu ukiendekeza hivyo kuna kutafunwa pia!!

Pia imeandikwa;

Hakika imeandikwa " mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili "

Hapo Gwaji anakuwa fungu gani au ndio mpanda farasi wawili...?
 
Hivi kweli Vitabu vitano Kwa Lugha ya Kijapan vimeandikwa na Gwajima vikauzwe Amazon? Huyu Askofu ana Swagga sijapata kuona. Vimeandikwa nini Kwa Kijapan mbona hasemi? Kawe wanahitaji Vitabu Kwa Kijapan au huduma za Jamii? Gwajima anakujua Malolo?
Jinga kweli jamaa..... Aendelee kuhadaa waumini wake misukule lkn sio wanakawe
 
Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake?

Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Wale wateja wake anaowadanganya kufufua wafu hapo hapo sijui alindwa kumfufua mama mzazi wake.
 
Gwajima ana zaidi ya sera, has the capacity ya kupanga na kutekeleza kwa fedha yake mwenyewe ya mfukoni, bila kutegemea fedha za serikali.
P
Fedha zake hizo amezipata kwa Biashara gani? Kama ni sadaka za kondoo ambao ameshindwa hata kuwajengea Zahanati au Chekechea ya watoto wao, huo ni uzushi.
 
Kawe Kawe Kawe kawe kawe oyeeeerrrr!!!!!!!!!!!!
Jamani Kawe ni wasomi. Hatuhitaji mtu kama Gwajiboy!!!!! Nonpnooooooo!!
 
Wataje maustadhi wapi hao na maneno gani hayo?

Nani aliwahi kusema kuwa atafanya makanisa kuwa misikiti na lau angesema hivyo wangekuwa washamfungulia shitaka la ugaidi
At least hao maustaadhi hawagombei sasa wew gwaji bichwa nazi unatukana waislam alafu unataka wakupe kura siyo dharau kweli hizo?
 
Fedha zake hizo amezipata kwa Biashara gani? Kama ni sadaka za kondoo ambao ameshindwa hata kuwajengea Zahanati au Chekechea ya watoto wao, huo ni uzushi.
Mtu yoyote ambaye ni kiongozi wa kidini, au wa kiroho, fedha zozote alizo nazo, amepewa na Bwana!, sio jukumu letu kuhoji amezipata wapi, kazi yenu iwe ni kushuhudia jinsi fedha hizo zinavyotenda kazi.
P
 
Mtu yoyote ambaye ni kiongozi wa kidini, au wa kiroho, fedha zozote alizo nazo, amepewa na bwana!, sio jukumu letu kuhoji amezipata wapi, kazi yenu iwe ni kushuhudia jinsi fedha hizo zinavyotenda kazi.
P
Ukristo umetufundisha woga sana ndio maana Mabeberu wanaweza kututawala bado
 
Back
Top Bottom