Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
Unadhani Gwaji boy kuna kitu hata kimoja anakijua basii sema anafikiri anajuaKama kutembelea Marekani , kuzungumza Kijapan na kuandika vitabu vitano kwa Kijapan vilivyopo Amazon ndo kigezo cha kutokuwa kilaza, hapa Mtumishi anajaribu kutuambia nini kuhusu Magu ambae hajaenda Marekani, hajaandika vitabu vitano sio tu kwa Kijapan na kuviuza huko Amazon bali hajaandika hata kwa lugha ya Kisukuma let alone kwa Kiswahili na hatimae kuviuza angalau kwenye meza za magazeti kama afanyavyo Shigongo?!