Kwa miaka 20 Chadema ni wapangaji na mnapokea ruzuku na bado mnadai mtailetea Nchi maendeleo,Waumini wake wanasali kwenye matope pale viwanja vya Mkanada Tegeta. Kwa miaka 20 ameshindwa kujenga kanisa kama Kakobe.
Halafu alinunua Chopa imezungushiwa utepe pale Airport yani haijwahi kutoka pale!
Ameshindwa kujenga jengo zuri la kufanyia mazingaombwe na viini macho vyake kwa misukule wake pale Ubungo, ndio aje agawe hayo magari kwa kila kata , na anavyoongea utadhani kazi ya mbunge ni kununua hayo magari.Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.
Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.
Source: East Africa Radio.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa sababu sio dini yako ,yaseme maneno ambayo maustadhi au mashekh wanaongeaga tuyaone kama wewe sio muongo.Hiyo ni Mihemko ya watoa mawaidha wala siyo mambo ya kuchukulia siliasi!
Kuna maustadhi wengi wanaongeaga maneno zaidi ya hayo lakini watu wa dini nyingine wala hawachukulii maananani wanaendelea na shughuli zao !
Gwajima hana uwezo wa kumfufua mtu yoyote yule, labda anachoweza ni kuponya kishirikina.Ambulance za nini wakati anao uwezo wa kufufua waliokufa, kuponya vilema.
Si bora angesema atakuwa anawaombea hao wagonjwa waponee majumbani kwao.
Ukiona mtu wako wa karibu ni muumini wa Gwajima, ujue hapo upo na kichaa.Atuletee kwanza zile trani
Kama alinunua Helkopta atashindwa kununua ambulance?Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake? Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Wataje maustadhi wapi hao na maneno gani hayo?Hiyo ni Mihemko ya watoa mawaidha wala siyo mambo ya kuchukulia siliasi!
Kuna maustadhi wengi wanaongeaga maneno zaidi ya hayo lakini watu wa dini nyingine wala hawachukulii maananani wanaendelea na shughuli zao !
Haya jiandae kupelekwa kwa mabeberu na Gwajiboy maana ndizo ahadi zake alizotoa leo.Kwa miaka 20 Chadema ni wapangaji na mnapokea ruzuku na bado mnadai mtailetea Nchi maendeleo,
Labda ya kuzungumza kingereza kama anavyodai mgombea wenu lakini si wa mabomba ya mafuta na midege na SGR.
Kama chadema walivyoshindwa kujenga jengo la ofisi.
Kama hoja ni kushindwa kujenga jengo la kanisa, chadema nao wameshindwa kujenga jengo la ofisi nao tusiwachague mpaka wajenge jengo lao?Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake? Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Kama chadema walivyoshindwa kujenga jengo la ofisi licha ya kupokea ruzuku nono afu ndo wanataka tuwakabidhi nchi.Huku jengo la kanisa likiwa nimemshinda kujenga anatangatanga. Lakini angeanza na kuboresha miundombinu ya shule ingefaa kuliko hayo magari.
Unawashauri nini chadema nao kuhusu kujenga jengo la ofisi ili wahame kwenye servant quarterAjenge kwanza jengo la kanisa la kwake mwenyewe na ahame kwenye yale mabanda
Wataje maustadhi wapi hao na maneno gani hayo?
Nani aliwahi kusema kuwa atafanya makanisa kuwa misikiti na lau angesema hivyo wangekuwa washamfungulia shitaka la ugaidi
Hilo swali umewahi kumuuliza Mbowe lini atajenga ofisi ili muhame kwenye ile servant quarter?Waumini wake wanasali kwenye matope pale viwanja vya Mkanada Tegeta. Kwa miaka 20 ameshindwa kujenga kanisa kama Kakobe.
Halafu alinunua Chopa imezungushiwa utepe pale Airport yani haijwahi kutoka pale!
Bwashe ambulance siyo maendeleo ni uchuro, mgombea gani huyo anayeombea Jimbo kuwa na wagonjwa daily? Au katumwa mauti huko anakopataga riziki yake? Gwajima ni wa kuogopwa kama jini kwa style hi ya ambulance.Kabisa mkuu!
Mkuu, nilikuwa nina hamu ya kuchangia chochote kwenye uzi huu. Lakini naona tayari umekwisha uweka mchango wangu kwenye haya maoni yako!Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake? Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Wataje maustadhi wapi hao na maneno gani hayo?
Nani aliwahi kusema kuwa atafanya makanisa kuwa misikiti na lau angesema hivyo wangekuwa washamfungulia shitaka la ugaidi