Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Hakika siwezi kuamini, hapana, si kwa wakazi wa Kawe.

Siku zote mtaji wa matapeli ni ujinga na wakazi wa Kawe nawafahamu, hawajawahi kuwa wajinga.

Kwamba wakazi wa Kawe wako tayari kugeuzwa kondoo wa Gwajima? Hakuna tusi kwa wakazi wa Kawe kama hilo.

Kwamba wakazi wa Kawe wako tayari kugeuzwa hasusa na Gwajima? Hapana, si wakazi wa Kawe ninaowafahamu.

Kama jimbo la Kawe limewahi kudharauliwa na kudhalilishwa ni wakati huu kwa kuletewa huu mzuka awe Mbunge wao, kweli?
Yaani CCM imeidharau Kawe kiasi hiki, hii haivumiliki!
 
Amesema atashiriki chochote kile ali mradi Bi Kidude ang'oke... Hii ni Tosha huyu Gwaji muasherati ni Tapeli la kimataifa... its means hata kura zisipotosha ikaamuliwa ziibwe zihamishiwe kwake atabariki hilo.... kazi kweli kweli... I hope anawakilisha Shetwain Duniani...
 
Angewaambia tu wananchi wa Kawe hizo pesa za kuwanunulia Ambulance kila kata atazitoa wapi ikiwa yeye binafsi hana biashara yoyote zaidi ya kazi ya kanisani kwake?

Yote kwa yote, kuna uhusiano gani kati ya kuwa mbunge na kutoa msaada?
Hivi ni lazima uwe mbunge ndio utoe msaada?
Kwanini asijikite tu sasa kutoa huo msaada na kuachana na kugombea ubunge?
Je umejuaje kuwa Gwajima hana biashara yoyote zaidi ya kazi ya kanisani kwake?

Gwajima kashiriki katika shughuli za maendeleo ya kawe kabla hata hajagombea ubunge kama hujui uliza tupo hapa tutakupa majibu.
 
Huko amazon uki search jina la Gwajima hakuna kitabu hata kimoja kinakuja ila ukiingia kwny web za porn ukiandika jina la huyo jamaa video za porn zinakuja chap chap.
 
Magari ya Ambulance SIO kipaumbele kwa Jimbo la kawe.Ahadi za Ambulance peleka msaada huo kwenye majimbo ya pembezoni mwa DSM na huko vijijini.Yaani DSM Magari YOTE hayo huko barabarani na kila baada ya Kaya 5 kila angalao Kaya moja Ina gari.Askofu,hapo kuweka Ambulance kuwa Ni priority kwa majimbo DSM,..UMEBUGI STEP..naona shughulikia miundo mbinu kwenye mashule Kwanza.Kwa taarifa yako,wakazi wengi wa Jimboni kawe i.e.MASAKI,MIKOCHENI,MBEZI BEACH,BAHARI BEACH,KUNDUCHI,UNUNIO,TGETA,BUNJU n.k. Utawaambiaje kwamba ambulance Ni kipaumbele.TAFAKARI,Tanya masahihisho.
Umetumia kigezo gani kusema ambulance sio kipaumbele?
 
Huko amazon uki search jina la Gwajima hakuna kitabu hata kimoja kinakuja ila ukiingia kwny web za porn ukiandika jina la huyo jamaa video za porn zinakuja chap chap.
Sawa, aya nambie kukosekana kwa kitabu Amazon kunaathiri vipi utendaji wa Gwajima kama mbunge wa kawe?
 
Amesema atashiriki chochote kile ali mradi Bi Kidude ang'oke... Hii ni Tosha huyu Gwaji muasherati ni Tapeli la kimataifa... its means hata kura zisipotosha ikaamuliwa ziibwe zihamishiwe kwake atabariki hilo.... kazi kweli kweli... I hope anawakilisha Shetwain Duniani...
Dhahabu haichafuki kwa kupakwa matope. Waliogombea nafasi ya ubunge kawe ndani ya ccm walikua ni zaidi 80 lakini Gwajima alipenya na kuteuliwa kugombea. Sasa kama unajidanganya kuwa ukimuita tapeli la kimataifa na muasherati kutamfanya asishinde nakupa pole sana comrade
 
Gwajiboy alisema kuutaka ubunge ni kujishusha cheo, vp hapo una neno lolote kwake? Huyo ni tapel tu
Alisema hivyo miaka ya nyuma leo hii baada ya kugundua kuwa Mdee anatuzingua ameona bora agombee ubunge ili aulindie heshima utu wa watu wa kawe.
 
Huyo Gwajima muongo na wala hajaandika kitabu chochote. Agombee tu Kawe lakini siyo kutudanganya.
 
Za Kuambiwa Changanya na Zako
2020-09-14%2000.34.32.jpg
 
Hujajibu swali langu comrade, niambie ujenzi wa kanisa una manufaa yapi katika utendaji kazi wa mbunge?

Kigezo kimojawapo cha kumpata mtenda kazi mzuri huwa watu wanangalia experience. Kama kiongozi wa kanisa tunataka kujua ametekeleza miradi mingapi ndani ya kanisa? Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Mungu hapendi michanganyo hata kidogo, kama umeamua kuwa moto bakia moto, baridi iwe baridi, hataki vuguvugu.

Huwezi tumikia mabwana wawili.

#Fitina kwangu ni mwiko, nitasema kweli daima.

#Chagueni viongozi wenye sera zinazouzika sio bora kiongozi mwenye jina.
 
Experience ipi tena unayoitaka mkuu? Gwajima ameweza kuanzisha kanisa na kulikuza mpaka leo linaendelea kufanya huduma. Sitaki sana kujikita kwenye udini maana siasa na dini haviendani
 
Ahhhaaaa!😎
Nichagueni mimi sijaenda na kurudi, nabanana nao huku huku
Teknohama imekwenda mbele sana kwa sasa Tanzania (Uchumi wa (Vumbi) Kati)
Nitakuwa nawakilisha jimbo kwenye ZOOM (Virtually)
Najua kwa sasa kila mtanzania ana Nokia ya tochi
Akimulika tu ananiona
 
Unajidanganya, Kawe hatuhitaji ambulance. Kwanza ambulance zinatupeleka wapi na zitabeba wangapi kwa population ya Kawe? Kila mgonjwa wa Kawe akiugua ataipata wapi? And by the way, wanaugua wangapi per day in Kawe kuwa kipaumbele chao ziwe ambulance?

In the first place, kwa foleni za Dar kwa mahitaji ya mtu wa kawaida wa Kawe, they are as useless as you are useless to us!

Umewaona wajinga kiasi hicho kuwa moved na ambulance? Zina umuhimu sawa, lakini haiwezi kuwa agenda ya mpiga kura kukupa kura yake simply umeahidi ambulance!

Make another attempt, this has failed!
 
Hujajibu swali langu comrade, niambie ujenzi wa kanisa una manufaa yapi katika utendaji kazi wa mbunge?

Ujenzi wa kanisa utaonesha kama kweli ahadi anazo toa anazitimiza!! Kama anawadanganya waumini wake basi hata wakazi wa Kawe anawalisha matango pori kuwa eti atawanunulia ambulance!!

Wakazi wa Kawe walishadanganywa na msukuma mwenzie kuwa angewanunulia NOAH kila mmoja mpaka leo ni ndoto tu!!
 
ujenzi wa kanisa utaonesha kama kweli ahadi anazo toa anazitimiza!! Kama anawadanganya waumini wake basi hata wakazi wa Kawe anawalisha matango pori kuwa eti atawanunulia ambulance!!

Wakazi wa Kawe walishadanganywa na msukuma mwenzie kuwa angewanunulia NOAH kila mmoja mpaka leo ni ndoto tu!!
Habari ya ujenzi wa kanisa na kutatua kero za wananchi ni mambo maweli tofauti. Ujenzi wa kanisa ni suala la kusimamiwa na kanisa lake,kutatua kero za wananchi ni suala ambalo hata chama chake kitahusika. Msiwe mnadandie vihoja vidogo vya kitoto na kuvishupalia. Akiwa mbunge chama chake kitamsimamia kuhakikisha ilani ya Ccm inatekelezwa.
 
Ujenzi wa kanisa utaonesha kama kweli ahadi anazo toa anazitimiza!! Kama anawadanganya waumini wake basi hata wakazi wa Kawe anawalisha matango pori kuwa eti atawanunulia ambulance!!

Wakazi wa Kawe walishadanganywa na msukuma mwenzie kuwa angewanunulia NOAH kila mmoja mpaka leo ni ndoto tu!!
Je tutumie hoja yako kuwanyoa chadema kuhusu ujenzi wa ofisi?
 
Habari ya ujenzi wa kanisa na kutatua kero za wananchi ni mambo maweli tofauti. Ujenzi wa kanisa ni suala la kusimamiwa na kanisa lake,kutatua kero za wananchi ni suala ambalo hata chama chake kitahusika. Msiwe mnadandie vihoja vidogo vya kitoto na kuvishupalia. Akiwa mbunge chama chake kitamsimamia kuhakikisha ilani ya Ccm inatekelezwa.
Mbunge ni mtu mwenye hadhi katika jamii huyu Gwajima kwa vitendo vyake vya UFUSKA hana hadhi hivyo hastahili kuwa mbunge wa Kawe!! Usiulize ushahidi wa ufuska wake kwani hiyo ni common knowledge kwa wakazi wa Kawe!!
 
Back
Top Bottom