Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
Hujitambui nduguBora mchezaji porn kuliko Mdee anayeshinda Twitter akitukanana na watu.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujitambui nduguBora mchezaji porn kuliko Mdee anayeshinda Twitter akitukanana na watu.
Je umejuaje kuwa Gwajima hana biashara yoyote zaidi ya kazi ya kanisani kwake?Angewaambia tu wananchi wa Kawe hizo pesa za kuwanunulia Ambulance kila kata atazitoa wapi ikiwa yeye binafsi hana biashara yoyote zaidi ya kazi ya kanisani kwake?
Yote kwa yote, kuna uhusiano gani kati ya kuwa mbunge na kutoa msaada?
Hivi ni lazima uwe mbunge ndio utoe msaada?
Kwanini asijikite tu sasa kutoa huo msaada na kuachana na kugombea ubunge?
Umetumia kigezo gani kusema ambulance sio kipaumbele?Magari ya Ambulance SIO kipaumbele kwa Jimbo la kawe.Ahadi za Ambulance peleka msaada huo kwenye majimbo ya pembezoni mwa DSM na huko vijijini.Yaani DSM Magari YOTE hayo huko barabarani na kila baada ya Kaya 5 kila angalao Kaya moja Ina gari.Askofu,hapo kuweka Ambulance kuwa Ni priority kwa majimbo DSM,..UMEBUGI STEP..naona shughulikia miundo mbinu kwenye mashule Kwanza.Kwa taarifa yako,wakazi wengi wa Jimboni kawe i.e.MASAKI,MIKOCHENI,MBEZI BEACH,BAHARI BEACH,KUNDUCHI,UNUNIO,TGETA,BUNJU n.k. Utawaambiaje kwamba ambulance Ni kipaumbele.TAFAKARI,Tanya masahihisho.
Sawa, aya nambie kukosekana kwa kitabu Amazon kunaathiri vipi utendaji wa Gwajima kama mbunge wa kawe?Huko amazon uki search jina la Gwajima hakuna kitabu hata kimoja kinakuja ila ukiingia kwny web za porn ukiandika jina la huyo jamaa video za porn zinakuja chap chap.
Dhahabu haichafuki kwa kupakwa matope. Waliogombea nafasi ya ubunge kawe ndani ya ccm walikua ni zaidi 80 lakini Gwajima alipenya na kuteuliwa kugombea. Sasa kama unajidanganya kuwa ukimuita tapeli la kimataifa na muasherati kutamfanya asishinde nakupa pole sana comradeAmesema atashiriki chochote kile ali mradi Bi Kidude ang'oke... Hii ni Tosha huyu Gwaji muasherati ni Tapeli la kimataifa... its means hata kura zisipotosha ikaamuliwa ziibwe zihamishiwe kwake atabariki hilo.... kazi kweli kweli... I hope anawakilisha Shetwain Duniani...
Alisema hivyo miaka ya nyuma leo hii baada ya kugundua kuwa Mdee anatuzingua ameona bora agombee ubunge ili aulindie heshima utu wa watu wa kawe.Gwajiboy alisema kuutaka ubunge ni kujishusha cheo, vp hapo una neno lolote kwake? Huyo ni tapel tu
Wewe unayejiandaa kumpigia kura Mdee ndio mwenye kutakiwa kupewa kitanda Mirembe.
Hujajibu swali langu comrade, niambie ujenzi wa kanisa una manufaa yapi katika utendaji kazi wa mbunge?
Experience ipi tena unayoitaka mkuu? Gwajima ameweza kuanzisha kanisa na kulikuza mpaka leo linaendelea kufanya huduma. Sitaki sana kujikita kwenye udini maana siasa na dini haviendaniKigezo kimojawapo cha kumpata mtenda kazi mzuri huwa watu wanangalia experience. Kama kiongozi wa kanisa tunataka kujua ametekeleza miradi mingapi ndani ya kanisa? Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Mungu hapendi michanganyo hata kidogo, kama umeamua kuwa moto bakia moto, baridi iwe baridi, hataki vuguvugu.
Huwezi tumikia mabwana wawili.
#Fitina kwangu ni mwiko, nitasema kweli daima.
#Chagueni viongozi wenye sera zinazouzika sio bora kiongozi mwenye jina.
Hujajibu swali langu comrade, niambie ujenzi wa kanisa una manufaa yapi katika utendaji kazi wa mbunge?
Habari ya ujenzi wa kanisa na kutatua kero za wananchi ni mambo maweli tofauti. Ujenzi wa kanisa ni suala la kusimamiwa na kanisa lake,kutatua kero za wananchi ni suala ambalo hata chama chake kitahusika. Msiwe mnadandie vihoja vidogo vya kitoto na kuvishupalia. Akiwa mbunge chama chake kitamsimamia kuhakikisha ilani ya Ccm inatekelezwa.ujenzi wa kanisa utaonesha kama kweli ahadi anazo toa anazitimiza!! Kama anawadanganya waumini wake basi hata wakazi wa Kawe anawalisha matango pori kuwa eti atawanunulia ambulance!!
Wakazi wa Kawe walishadanganywa na msukuma mwenzie kuwa angewanunulia NOAH kila mmoja mpaka leo ni ndoto tu!!
Je tutumie hoja yako kuwanyoa chadema kuhusu ujenzi wa ofisi?Ujenzi wa kanisa utaonesha kama kweli ahadi anazo toa anazitimiza!! Kama anawadanganya waumini wake basi hata wakazi wa Kawe anawalisha matango pori kuwa eti atawanunulia ambulance!!
Wakazi wa Kawe walishadanganywa na msukuma mwenzie kuwa angewanunulia NOAH kila mmoja mpaka leo ni ndoto tu!!
Mbunge ni mtu mwenye hadhi katika jamii huyu Gwajima kwa vitendo vyake vya UFUSKA hana hadhi hivyo hastahili kuwa mbunge wa Kawe!! Usiulize ushahidi wa ufuska wake kwani hiyo ni common knowledge kwa wakazi wa Kawe!!Habari ya ujenzi wa kanisa na kutatua kero za wananchi ni mambo maweli tofauti. Ujenzi wa kanisa ni suala la kusimamiwa na kanisa lake,kutatua kero za wananchi ni suala ambalo hata chama chake kitahusika. Msiwe mnadandie vihoja vidogo vya kitoto na kuvishupalia. Akiwa mbunge chama chake kitamsimamia kuhakikisha ilani ya Ccm inatekelezwa.