Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.
Joined yesterday sa kumi jioni!!’

Mnadhani hatujui Kuna watu mmepewa bundle za kujiunga mitandaoni kumpigia kampeni Gwajima!!!

Tunawajua mpo wengi kuanzia youtube, insta, Facebook , Twitter hadi humu JF!!
 
Nilidhani bavicha wote wanatumia konyagi kumbe kuna wenye unafuu??
 
Aisee ukiingia Google usithubutu kuandika neno "Gwajima"
Asubuhi hii nimepelekwa kusikojulikana na hao Google baada ya kuandika neno hilo nikitafuta vitabu vya kijapan alivyotuhadithia. Nani aliye upload ile video lakini 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
 
Ubishi ni ugonjwa, ishu ya porn itatutoa?

Akitaka aachwe kusemwa, aje tena mbele ya vyombo vya habari na kukubali ya kwamba ile clip ya ngono ni ya kwake! Na atuambie ni kwa nini jitu zima kama yeye, likaamua kujirekodi likifanya mambo ya faragha.

Haiwezekani Mchungaji/Askofu mzima anakua muongo! Alitukatalia mbele ya waandishi wa habari na mke wake akiwa pembeni yake, akisema hiyo clip ili editiwa! Na wakati ni yeye mwenyewe kabisa!! Yaani anatufanya Watanzania wote hatuna macho!!
 
Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.

Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.
Umesema ukweli, badala ya kushindana nae kwa hoja za maendeleo mjadala umekuwa kuhusu personal issues wamejisahau. Oktoba watapata majibu
 
Umesema ukweli, badala ya kushindana nae kwa hoja za maendeleo mjadala umekuwa kuhusu personal issues wamejisahau. Oktoba watapata majibu
Kwa iyo tumpe ubunge mtu anawarubuni na kuwaharibu vijana wetu wa kike???
 
Aisee ukiingia Google usithubutu kuandika neno "Gwajima"
Asubuhi hii nimepelekwa kusikojulikana na hao Google baada ya kuandika neno hilo nikitafuta vitabu vya kijapan alivyotuhadithia. Nani aliye upload ile video lakini 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
Atakuwa ni yeye mwenyewe maana alijirekodi ili aturingishie kuwa naye huwa anafanya, ingetufikiaje sasa kama asingepublish, ni kama tu mwandishi wa kitabu lengo ni msomaji so lazima kitabu kiwe published
 
Alisema hivyo miaka ya nyuma leo hii baada ya kugundua kuwa Mdee anatuzingua ameona bora agombee ubunge ili aulindie heshima utu wa watu wa kawe.
So kaamua kupoteza heshima yake kulinda kawe[emoji848]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mcheza filamu pendwa ni tapeli mkuu, aliwahi sema atanunua treni nadhani unalikumbuka hili pia, vp una maoni gani juu ya hilo?
 
Kawe ni jimbo lenye watu makini sana, asisahau hilo tutamkumbusha.
 
Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?

Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.

Tujitafakari.
Ishu ya pornography ni aibu kubwa sana kwa Taifa, kama Gwajima atachaguliwa kuwa mwakilishi!
Mbona Chama chenu kikisema majitaka wala hhamsemi eti "acheni majitaka ongeeni mtafanya nini" Unakumbuka Slaa na Josephina miliipokaza uzi oo nini oo nini?
 
Ukizungumzia kanisa unazungumzia "Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)" na sio Gwajima kama Gwajima. Umeshindwa kumtenga Gwajima na kanisa afu unaniambia nimtenge Mdee (lesbian) na servant quarter ya chadema.
Mkuu kweli hujui kuwa Kanisa la Ufufuo na Uzima ni mali ya Gwajboy(Mcheza filamu pendwa)? Au unadhani na Taasisi ile?
 
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.

Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.

Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.

Source: East Africa Radio.

Maendeleo hayana vyama!

=========

"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.

"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
Badala ya kuwanunulia Ambulance, kwa nini asiwafufue wafu na kuwaponya wagonjwa kama anavyofanya kanisani kwake......!!

Gwajima ni TAPELI No. 1 Tanzania ....!!
 
So kaamua kupoteza heshima yake kulinda kawe[emoji848]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mcheza filamu pendwa ni tapeli mkuu, aliwahi sema atanunua treni nadhani unalikumbuka hili pia, vp una maoni gani juu ya hilo?
Huyu huyu na utapeli na sinema zake atakwenda mjengoni Dodoma.

Yule sauti ya zege muda wa kufungasha virago umewadia.
 
Sio kila mtumishi wa afya ni qualified ku handle dharura za ambulance...lakini kila kata kuwa na ambulance maana yake kutakuwa na kituo cha afya chenye hadhi ya kuwa na ambulance lakini muda wote kikiwa na wagonjwa mahututi ama kukiwa na ajali
Hivi kata ina wakazi wangapi watakaohitaji ambulance kama kipaumbele cha ahadi za mgombea?
Sawa, nafikiri hili nalo tutamwambie mbunge wetu gwajima aweze kulishugulikia pia. Ili watumishi hao wapelekwe mafunzo ya mda mfupi ili wawewabobezi zaidi. Mh Dr. Asikofu gwajima huyu ndo mwalobaini wa kero zetu za hapa kawe.
 
Back
Top Bottom