Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Haya mambo yatatusaidia wakati wa uchaguzi? Jamaa naona anatoa ahadi nono!Tena isingekua sheria kukaba kale ka clip ka mkono wa baunsa ilibidi kaoneshwe kila mkutano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo yatatusaidia wakati wa uchaguzi? Jamaa naona anatoa ahadi nono!Tena isingekua sheria kukaba kale ka clip ka mkono wa baunsa ilibidi kaoneshwe kila mkutano
Joined yesterday sa kumi jioni!!’Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Ubishi ni ugonjwa, ishu ya porn itatutoa?
Mmezoea kutoa rushwa za ahadi kwenye kampeniHaya mambo yatatusaidia wakati wa uchaguzi? Jamaa naona anatoa ahadi nono!
Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Umesema ukweli, badala ya kushindana nae kwa hoja za maendeleo mjadala umekuwa kuhusu personal issues wamejisahau. Oktoba watapata majibuTunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Kwa iyo tumpe ubunge mtu anawarubuni na kuwaharibu vijana wetu wa kike???Umesema ukweli, badala ya kushindana nae kwa hoja za maendeleo mjadala umekuwa kuhusu personal issues wamejisahau. Oktoba watapata majibu
Atakuwa ni yeye mwenyewe maana alijirekodi ili aturingishie kuwa naye huwa anafanya, ingetufikiaje sasa kama asingepublish, ni kama tu mwandishi wa kitabu lengo ni msomaji so lazima kitabu kiwe publishedAisee ukiingia Google usithubutu kuandika neno "Gwajima"
Asubuhi hii nimepelekwa kusikojulikana na hao Google baada ya kuandika neno hilo nikitafuta vitabu vya kijapan alivyotuhadithia. Nani aliye upload ile video lakini 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
Unafikiri hii ndo itakupeleka Japan au mji ambao yeye anadai ni jimbo ?Ubishi ni ugonjwa, ishu ya porn itatutoa?
Ubongo mkubwa kuliko tumbo, hii ni sifa sio dhihaka
una ushahidi wa hayo?Kwa iyo tumpe ubunge mtu anawarubuni na kuwaharibu vijana wetu wa kike???
So kaamua kupoteza heshima yake kulinda kawe[emoji848]?Alisema hivyo miaka ya nyuma leo hii baada ya kugundua kuwa Mdee anatuzingua ameona bora agombee ubunge ili aulindie heshima utu wa watu wa kawe.
Ishu ya pornography ni aibu kubwa sana kwa Taifa, kama Gwajima atachaguliwa kuwa mwakilishi!Tunajichanganya sana makamanda, tunamshambulia askofu kuliko kueleza aliyekuwa mbunge amefanya nini na atafanya nini?
Tujierekebishe tuache kuangalia personal ishu za Gwajima. Mambo kama porn na maisha yake yatatusaidia? Ground level naona hali ni mbaya kwa chama changu.
Tujitafakari.
Mkuu kweli hujui kuwa Kanisa la Ufufuo na Uzima ni mali ya Gwajboy(Mcheza filamu pendwa)? Au unadhani na Taasisi ile?Ukizungumzia kanisa unazungumzia "Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)" na sio Gwajima kama Gwajima. Umeshindwa kumtenga Gwajima na kanisa afu unaniambia nimtenge Mdee (lesbian) na servant quarter ya chadema.
Badala ya kuwanunulia Ambulance, kwa nini asiwafufue wafu na kuwaponya wagonjwa kama anavyofanya kanisani kwake......!!Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua.
Mambo mengine mengi mazuri yatafuatia ikiwemo maboti ya uvuvi kwa ndugu zetu kule ufukweni mwa bahari.
Source: East Africa Radio.
Maendeleo hayana vyama!
=========
"Mwaka jana nilitembelea kule Marekani, ndiyo maana nakuawambia usifikiri unaongea na kilaza kwa taarifa yako mimi naongea Kijapan nimeandika vitabau vitano vya Kijapan ukienda Amazon unakuta vinauzwa"- Josephat Gwajima.
"Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali"- Josephat Gwajima.
Huyu huyu na utapeli na sinema zake atakwenda mjengoni Dodoma.So kaamua kupoteza heshima yake kulinda kawe[emoji848]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mcheza filamu pendwa ni tapeli mkuu, aliwahi sema atanunua treni nadhani unalikumbuka hili pia, vp una maoni gani juu ya hilo?
Sawa, nafikiri hili nalo tutamwambie mbunge wetu gwajima aweze kulishugulikia pia. Ili watumishi hao wapelekwe mafunzo ya mda mfupi ili wawewabobezi zaidi. Mh Dr. Asikofu gwajima huyu ndo mwalobaini wa kero zetu za hapa kawe.Sio kila mtumishi wa afya ni qualified ku handle dharura za ambulance...lakini kila kata kuwa na ambulance maana yake kutakuwa na kituo cha afya chenye hadhi ya kuwa na ambulance lakini muda wote kikiwa na wagonjwa mahututi ama kukiwa na ajali
Hivi kata ina wakazi wangapi watakaohitaji ambulance kama kipaumbele cha ahadi za mgombea?
Acha uzembe,jadili mada husika.Njoo na ID yako ya siku zote mkuu ili tuweze kuelewana vizuri. Hii umefungua jana tu, leo unaanza kuiongelea chadema.View attachment 1569297
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app