Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

Gwajimaaaa
1. Ulituahidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliahidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliahidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliahidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliahidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandarini (90Mil.)
7. Ulituahidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituahidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituahidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituahidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.

Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani , Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambi ya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.

Eti ambulance kila kata, shuuuu
 
Train aliyoahidi Labda ndiyo hiyo ya Magufuli tunayojenga kwa pesa zetu... Ndiyo maana wamemkumbuka kwenye chama.
 
Gwajimaaaa
1. Ulituahidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliahidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliahidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliahidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliahidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandarini (90Mil.)
7. Ulituahidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituahidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituahidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituahidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.

Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani , Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambi ya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.

Eti ambulance kila kata, shuuuu
Gwajima lazima tumwoneshe kuwa hajui
 
Alikuahidi hayo yote wapi?.. lini?.. ilikuwa kupata Ubunge au?..
Haiwezekani kumsafisha tumesikia wote wakati anatoa ahadi tena nakumbuka kuhusu train alisema zimeshakuja anasubiri kibali tu kutoka kwa Magu
 
Wakuu nimeona clip ya Gwajima akifanya kampeni,anasema wanaosema yeye hajasoma ni mwongo yeye anajua lugha ya Kijapan na ameandika vitabu 5 kwa lugha ya Japan na vipo Amazon ,naomba mwenye link ya ya hivo vitabu au majina ya vitabu.

Mbali na hapo amesema akichaguliwa kuwa mbuge wa Kawe atapeleka wana Kawe marekani na wamarekani kuja kawe kuishi.
 
Gwajima anakiki sana huwezi kumfananisha na yule BIBI
 
Angekua na nia tuvijue angeweka majina ya vitabu na mwaka wa kuchapishia.
 
Hata wewe unaweza kwa lugha yoyote ulimwenguni. Isikustue!

Unaandika kwa lugha yako umemaliza, kinachobaki ni kutafsiriwa na kuchapwa kwa lugha uitakayo, si miujiza.
 
Back
Top Bottom