Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Hapo ataitwa "mpuuzi wa upuuzini!!"Ni mpuuz sana huyo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ataitwa "mpuuzi wa upuuzini!!"Ni mpuuz sana huyo mzee
YapHapo ataitwa "mpuuzi wa upuuzini!!"
Ilikua ni kukata gogo.Alikuahidi hayo yote wapi?.. lini?.. ilikuwa kupata Ubunge au?..
Gwajima lazima tumwoneshe kuwa hajuiGwajimaaaa
1. Ulituahidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliahidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliahidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliahidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliahidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandarini (90Mil.)
7. Ulituahidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituahidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituahidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituahidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani , Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambi ya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
Eti ambulance kila kata, shuuuu
Mkiambiwa Gwajima tapeli mnabisha, sasa ona search huko Amazon imemvua nguo kuwa hivyo vitabu anavyosema kaandika kijapan haviko!!! Gwajima muhuni!aende akatapeli kijijini kwake huko Kolomije siyo Kawe.
angalia hizi hapa chini ni results za search ya Gwajima kwenye site ya Amazon.
View attachment 1569237View attachment 1569238View attachment 1569239
Ili afaidike na nini? Kama ana pesa hizo angefuta kwanza sadaka na fungu la kumi kule kwenye biashara yake aliyoipa jina la kanisaGwajima ana zaidi ya sera, has the capacity ya kupanga na kutekeleza kwa fedha yake mwenyewe ya mfukoni, bila kutegemea fedha za serikali.
P
Sijui amekula maharage ya wapi?Ni mpuuz sana huyo mzee
Haiwezekani kumsafisha tumesikia wote wakati anatoa ahadi tena nakumbuka kuhusu train alisema zimeshakuja anasubiri kibali tu kutoka kwa MaguAlikuahidi hayo yote wapi?.. lini?.. ilikuwa kupata Ubunge au?..