Umeongea la maana sana ila vichwa maji kamwe hawatakuja kuelewa ulichoandika.Ukiangalia PLANNING SYSTEM ya Tanzania ipo vizuri sana.
.
Yaani haimtaki kila RAIS aje na mipango yake au mambo yake.
.
Kila Planning kuna kitu kinaitwa INCREMENTAL PLANNING
.
Shida ya kuingiza siasa kwenye maendeleo ndio hii.
.
SHIDA YA KUIPA SIASA NAFASI KUBWA KULIKO UTENDAJI.
Ukimwambia haya basi tuandike katiba mpya, atakuambia barabara, Maji madarasa na upuuzi kibaoAskofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Gwajima ana hoja
Umemwelewa alichoongea ?
Kila Raisi akija anakuja na yake na kuponda ya mtangulizi wake
Nyerere aliponda ya wakoloni taifisha viwanda,Majumba,biashara mashule ya private nk na kufanya ya umma,Mwinyi akaponda ya Nyerere ,Mkapa akaponda ya Mwinyi,Kikwete akaponda ya Mkapa ,Magufuli akaponda ya Kikwete na Mama Samia anaponda ya Magufuli
Nchi utafikiri kichwa cha mwendawazimu kila Raisi ajaye anajifunzia kunyoa
Ndio, kuhamia Dodoma ni tangu miaka ya TANU. Bwawa la Nyerere pia ni maamuzi ya miaka mingi iliyopita ambayo utekelezaji wake ulikuwa unapigwa danadana kila kukicha.Hivi kuhamia Dodoma na Bwawa la Nyerere zilikuwa kwenye ilani ya CCM?
Zuzu ni wewe mkuu, inaonekana umri wako bado ni mdogo na umeanza kufuatilia masuala ya kiuchumi hii miaka ya karibuni.Unaona mazuzu haya! Nje ya nchi ndiko maendeleo yanakotokea? Niambia nchi ambayo imeendelea kwa sababu marais wake walikuwa wanasafiri sana nje! Nchi inajengwa na wananchi siyo fedha kutoka nje. Miafika ndiyo tulivyo, kazi kuwaza vya bure tu. Bila shaka wewe asili yako ni kutoka kwenye ule mkoa ambao wakazi wake husambaa nchi nzima kuomba omba ndiyo maana una mawazo fyongo namna hii.
Binafsi sikubaliani nae kwa sababu amesema hatuna vision wakati kwenye mfano kasema tunayo inayoishia 2025/2026..
Sasa anajua ilianza lini kutekelezwa? Point kuu ingekuwa kwamba hiyo vision itungiwe sheria isiache inaelea.
Mfano Nyerere aliacha tuu kwamba Serikali inatakiwa kuhamia Dodoma,alitunga sheria lakini hakuhamia.
Mwendazake alipohamia katungia sheria kabisaa kwamba hakuna option tena.
So vision zetu tuzipe nguvu za kisheria tusiache option ya utashi wa kisiasa hata kama zipo..
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Hakuacha ya Kikwete, aliendeleza aliposhindwa Kikwete. Haya masuala mfano ya ununuzi wa ndege na upanuzi wa bandari zote yapo kwenye ilani ya CCM alichofanya JPM ni kuhakikisha wanafanyiwa kazi.Sio haki vipi wakati tuliona Magufuli akiacha ya kikwete na kufanya yake? Ulikua hujaziliwa au umeamua kujitia upofu?
zungumzia point yake mjibu point aliyosema. ubunge aliupata kwa kura za wananchi mimi moja wapo nilimpa kura yangu na familia yangu na ndugu zangu woote
Yaani ulikuwa kwenye ilani ya CCM ya 2015-2020?Ndio, kuhamia Dodoma ni tangu miaka ya TANU. Bwawa la Nyerere pia ni maamuzi ya miaka mingi iliyopita ambayo utekelezaji wake ulikuwa unapigwa danadana kila kukicha.
Ni miradi ya miaka mingi ambayo haikuwa ikipewa kipaumbele. Lakini haina maana kwamba haina umuhimu kwa maisha ya watanzania.Yaani ulikuwa kwenye ilani ya CCM ya 2015-2020?
Yaani kwa nini kwenye ilani iwe na ujenzi wa reli ya SGR, bwawa la Nyerere, kuhamia Dodoma ndani ya kipindi kifupi? Bado madaraja na barabara kama ya Kimara- Kibaha
Hao walioandaa hiyo ilani kwa nini waweke mirah mikubwa mingi ndani ya kipindi kifupi. Maana deni la taifa litavuka trilioni 100 muda si mrefu, kisha tuanze kulaumiana
Mkuu hujaona hatari ya kuanzisha miradi mikubwa mingi kwa kipindi kifupi?Ni miradi ya miaka mingi ambayo haikuwa ikipewa kipaumbele. Lakini haina maana kwamba haina umuhimu kwa maisha ya watanzania.
Hivi kwanini hawa marais wanaoongozwa na ilani ya chama chao lakini bado kila mmoja wao huja na lake na kuacha la mwenzake?
Ina maana hawaifuati ilani ya chama chao?
Kama jibu ni ndio, basi ile kauli ya Kinana kwamba CCM ndio wanaiagiza serikali na sio serikali kuiagiza CCM itakuwa ni batili.
Alifikiri mafisadi mchezo, yeye anajitia kuyakataa mafisadi wakati huo huo anatengeneza class yake ya mafisadi.AKAYAVURUGA MAFISADI MPAKA YAKAMUUA
kasome ilani 2010-15 pia nime attach ktk page ya pili hivyo waweza kusoma ilani zote kuanzia 2005 mpka 2020... utapata kuona vyema series za maendeleo zilivyo pangiliwa vyema...Bwawa la umeme la Nyerere halikuwepo sio tuu kwenye ilani bali kwenye vision ya 2025/2026.