Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Unamuelewa Gwajima anayejiita Askofu na anafufua wafu huku akishindwa kumfufua Magufuli wake?kama hauna akili timamu uwezi kumuelewa gwajima. Ameongea kweli tupu.. Binafsi chanjo hyo siitaki
Yeye anawaaminisha wale misukule yake kuwa hakuna Corona bali kuna watu wanazusha uwepo wa Corona ili wapige hela kwenye chanjo.WSalaam!
kwa jinsi Gwajima alivyozungumza kwa kujiamini, inaonekana anautafiti wa kutosha sana, na amewashauri kondoo wake wasikubali katu katu kupigwa chanjo,
Lakini mpaka sasa hajawaambia kondoo wake watumie njia gani kujikinga na Covid,
je anajiandaa kuleta annointing oil au maji ya upako?
Tuendelee kusubiri
Msikilizeni mpukutike woteWSalaam!
kwa jinsi Gwajima alivyozungumza kwa kujiamini, inaonekana anautafiti wa kutosha sana, na amewashauri kondoo wake wasikubali katu katu kupigwa chanjo,
Lakini mpaka sasa hajawaambia kondoo wake watumie njia gani kujikinga na Covid,
je anajiandaa kuleta annointing oil au maji ya upako?
Tuendelee kusubiri
Yule wa Madagascar walimkosa kosa ingawa yeye mapema alishaikubali chanjo!!sababu mission ilikuwa tayari executed ni lazima ifanyike tuu!Msikilizeni mpukutike woteView attachment 1870687
Kachanjwe keshoUjinga unaoshika kasi ni wa kwako uliaminishwa kuwa wazungu wamekuletea chanjo ili wakumalize na unaamini wakati unatumia simu iliyotengenezwa na mzungu na unakunywa dawa zilizotengnenezwa na mzungu kila siku
Na ilitabiliwa zamani sana kuwa siku za Mwisho kutakuwa na Manabii wa uongo!! watafanya maajabu ''wajaribuni!!! yamkini watashusha Moto kutoka Mbinguni. hayo ya miujiza kuokoa misukule!! kweli utaokoa sana lkn sisi kamwe Gwajima haya tutishi!!! elewa hivo...
mkuu..ebu fafanua kidogo hizo ajenda japo kwa kifupi, natamani kusikia neno kutoka kwakoHata mimi niliwahi kufoji document kwenye chanjo ya manjano...ila kwa jinsi walivyo serious kwenye hii chanjo ya corona,sijui wataweka utaratibu gani kuzuia kufoji...tuombe tu iwezekane kufoji,maana chanjo hii ina agenda za hatari sana ingawa watu wengi bado wanatumia akili za kiwango cha chini sana kushabikia.
Ili uonekane umechanjwa unapita kwenye scanner maalum /entrance zote Duniani zitawekwa kifaa hicho,hivyo kutakuwa na ditector /screan somewhere ya kubaini.Hata mimi niliwahi kufoji document kwenye chanjo ya manjano...ila kwa jinsi walivyo serious kwenye hii chanjo ya corona,sijui wataweka utaratibu gani kuzuia kufoji...tuombe tu iwezekane kufoji,maana chanjo hii ina agenda za hatari sana ingawa watu wengi bado wanatumia akili za kiwango cha chini sana kushabikia.
Wanajua chanjo hazijahakikiwa na zinaweza kuwa na madhara makubwa huko mbeleni. Chanjo inayokwenda kukoroga DNA zako ili ziufanye mwili kupambana na kirusi kimoja uliwahi kuiona wapi? Ndiyo maana wanakutaka usaini kabisa kiapo cha kukubaliana endapo mambo yakikugeuka basi we nenda kafie mbele tu hakuna kuwashitaki.Wapuuzi ndo wanampinga gwajima , hachanjwi mtu hapa, alaf walivyo wajinga unasaini kiapo , likikutokea la kutokea ukafie mbele huko , chanjo gani hyo ya kuwekeana kiapo kama hyo chanjo ni salama
Kuna lile dikteta lililo kamatwa lilikuwa linasema watanzania wote tuchanjwe kwa lazima, bahati nzuri limekamatwa kwa kesi ya Ugaidi na Uhujumu uchumiView attachment 1870942
Waanze kuwachoma nyumbu wa saccos kwanza ili tujiridhishe. Maana inaonekana kuna namna hapa.
Zamani nilikuwa najua Mtu akijiita Jasusi ( Njagu ) basi anakuwa ni Mtu 'very Intelligent' kumbe siku hizi tuna wanaojiita Majasusi ( Manjagu ) ambao si tu ni 'very Foolish' bali pia Wana Ugonjwa wa Akili na huenda walitakiwa wawe wameshawahi Vitanda vyao katika Wodi ( Ward ) ya 'Vichaa' ama ya Mkoani Dodoma au Tanga.Kwakuwa hili ni jukwaa huru, naamini maoni yangu yataachwa bila kuunganishwa na machapisho mengine kwani hayafanani hata kidogo.
Mara baada ya Askofu Gwajima kuuliza maswali ya msingi juzi, nimeona viongozi wengi wamejitokeza kumjibu kana kwamba hana haki ya kutoa maoni. Kimsingi alichosema ndugu Gwajima kina logic sana tu...