#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

WSalaam!

kwa jinsi Gwajima alivyozungumza kwa kujiamini, inaonekana anautafiti wa kutosha sana, na amewashauri kondoo wake wasikubali katu katu kupigwa chanjo,

Lakini mpaka sasa hajawaambia kondoo wake watumie njia gani kujikinga na Covid,

je anajiandaa kuleta annointing oil au maji ya upako?
Tuendelee kusubiri
Yeye anawaaminisha wale misukule yake kuwa hakuna Corona bali kuna watu wanazusha uwepo wa Corona ili wapige hela kwenye chanjo.
 
WSalaam!

kwa jinsi Gwajima alivyozungumza kwa kujiamini, inaonekana anautafiti wa kutosha sana, na amewashauri kondoo wake wasikubali katu katu kupigwa chanjo,

Lakini mpaka sasa hajawaambia kondoo wake watumie njia gani kujikinga na Covid,

je anajiandaa kuleta annointing oil au maji ya upako?
Tuendelee kusubiri
Msikilizeni mpukutike wote
IMG-20210727-WA0074.jpg
 
Ujinga unaoshika kasi ni wa kwako uliaminishwa kuwa wazungu wamekuletea chanjo ili wakumalize na unaamini wakati unatumia simu iliyotengenezwa na mzungu na unakunywa dawa zilizotengnenezwa na mzungu kila siku
Kachanjwe kesho
 
Na ilitabiliwa zamani sana kuwa siku za Mwisho kutakuwa na Manabii wa uongo!! watafanya maajabu ''wajaribuni!!! yamkini watashusha Moto kutoka Mbinguni. hayo ya miujiza kuokoa misukule!! kweli utaokoa sana lkn sisi kamwe Gwajima haya tutishi!!! elewa hivo...

Kama unaamini kutatokea manabii wa uongo iweje usijue nguvu iliyonyuma ya chanjo? Je mungu wako ni kipofu au kiziwi kwamba asijue hila ya shetani nyuma ya hii chanjo?
 
Hata mimi niliwahi kufoji document kwenye chanjo ya manjano...ila kwa jinsi walivyo serious kwenye hii chanjo ya corona,sijui wataweka utaratibu gani kuzuia kufoji...tuombe tu iwezekane kufoji,maana chanjo hii ina agenda za hatari sana ingawa watu wengi bado wanatumia akili za kiwango cha chini sana kushabikia.
mkuu..ebu fafanua kidogo hizo ajenda japo kwa kifupi, natamani kusikia neno kutoka kwako

tafadhali..
 
Gwajiboy achague kanisa au siasa, kama unataka kuwa mkweli genuine kabisa siasa sio mahala pake. Viongozi wake wa chama washamrushia bait, sasa utaona unafiki atakavyogeuka kula matapishi yake.
 
Hata mimi niliwahi kufoji document kwenye chanjo ya manjano...ila kwa jinsi walivyo serious kwenye hii chanjo ya corona,sijui wataweka utaratibu gani kuzuia kufoji...tuombe tu iwezekane kufoji,maana chanjo hii ina agenda za hatari sana ingawa watu wengi bado wanatumia akili za kiwango cha chini sana kushabikia.
Ili uonekane umechanjwa unapita kwenye scanner maalum /entrance zote Duniani zitawekwa kifaa hicho,hivyo kutakuwa na ditector /screan somewhere ya kubaini.

Ili mfumo huo ufanye kazi ni lazima pawepo na very safe connection within vaccine.

Mfano 1/08/2021 utaratibu unaanza Ufaransa.
 
Kwakuwa hili ni jukwaa huru, naamini maoni yangu yataachwa bila kuunganishwa na machapisho mengine kwani hayafanani hata kidogo.
Mara baada ya Askofu Gwajima kuuliza maswali ya msingi juzi, nimeona viongozi wengi wamejitokeza kumjibu kana kwamba hana haki ya kutoa maoni. Kimsingi alichosema ndugu Gwajima kina logic sana tu, ila kwakuwa watu wengi wana tabia ya kuamini kila kinachotoka vinywani mwa wataamu basi wanamwona kama vile punguani.

Dr naomba usiyumbishwe, pia watanzania tusikimbilie chanjo, tutumie vyema uhuru tuliopewa kuchagua kuto chanjwa. Tena kama una umri chini ya miaka 45 sikushauri kabisa, sisemi kwamba chanjo ina tatizo, ila katika mambo kama haya nivema kuwatanguliza viherehere halafu unakaa nyuma.

Hebu fikiria kama chanjo hii itasababisha paipu ikalala baada ya miaka 5. Tafakari, chukua hatua. Wazungu wana chanjo zao sio hizi, Hii J&J marekani waliikataa, sisi tunapokea tu kama msaada. Anyway wazungu wanatupenda sana ndomaana walitutawala.

Nasubiri kwa hamu kusikia jinsi mwamba atakavyo jibu mapigo, waliomjibu waandae taulo.
 
Wapuuzi ndo wanampinga gwajima , hachanjwi mtu hapa, alaf walivyo wajinga unasaini kiapo , likikutokea la kutokea ukafie mbele huko , chanjo gani hyo ya kuwekeana kiapo kama hyo chanjo ni salama
 
Wapuuzi ndo wanampinga gwajima , hachanjwi mtu hapa, alaf walivyo wajinga unasaini kiapo , likikutokea la kutokea ukafie mbele huko , chanjo gani hyo ya kuwekeana kiapo kama hyo chanjo ni salama
Wanajua chanjo hazijahakikiwa na zinaweza kuwa na madhara makubwa huko mbeleni. Chanjo inayokwenda kukoroga DNA zako ili ziufanye mwili kupambana na kirusi kimoja uliwahi kuiona wapi? Ndiyo maana wanakutaka usaini kabisa kiapo cha kukubaliana endapo mambo yakikugeuka basi we nenda kafie mbele tu hakuna kuwashitaki.

Ni kweli, wale walio chini ya 45 wanapaswa kufikiri sana na kwa makini kabla hawajaamua kuchanjwa. Na wale ambao wanatarajia kuzaa nao wafikirie sana. DNA zao zikiwa zimepinduliwa na chanjo, je watazaa watoto wa aina gani? Wasije wakazaa misukule yenye vichwa kama kirusi cha korona.
 
Kama wanavyopiga chepuo madalili juu ya Chanjo na sisi tunaopiga Chanjo tuachwe wasitutishe hauwezi kusifia matumizi ya Condom then ukachukia ngono
 
Chanjo hii ya Corona inasababisha kukoma/kutopata hedhi wanawake na wajawazito huwasababishia kifafa cha mimba.

Ushahidi upo, naupload report kutoka Philadelphia medical laboratory (Treatment Research Institute) ina goma.

Take care please.
20210726_235520.jpg
20210726_235649.jpg
 
Kwakuwa hili ni jukwaa huru, naamini maoni yangu yataachwa bila kuunganishwa na machapisho mengine kwani hayafanani hata kidogo.
Mara baada ya Askofu Gwajima kuuliza maswali ya msingi juzi, nimeona viongozi wengi wamejitokeza kumjibu kana kwamba hana haki ya kutoa maoni. Kimsingi alichosema ndugu Gwajima kina logic sana tu...
Zamani nilikuwa najua Mtu akijiita Jasusi ( Njagu ) basi anakuwa ni Mtu 'very Intelligent' kumbe siku hizi tuna wanaojiita Majasusi ( Manjagu ) ambao si tu ni 'very Foolish' bali pia Wana Ugonjwa wa Akili na huenda walitakiwa wawe wameshawahi Vitanda vyao katika Wodi ( Ward ) ya 'Vichaa' ama ya Mkoani Dodoma au Tanga.
 
Back
Top Bottom