CHADEMA hata siku moja hawawezi kuishauri serikali jambo kwa nia njema, siku zote wanaiombea nchi mabaya ili CCM iumbuke. Badala ya kuishaurli serikaliAskofu Gwajima amemtaka mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe kufuta kauli yake ya kutaka chanjo ya Corona iwe ni lazima.
Gwajima amesema Chadema ni chama cha demokrasia hivyo ni lazima Mbowe aishi kama mwanademokrasia na siyo dikteta.
Kama Freeman Mbowe analazimisha chanjo angali yupo Ufipa je akifika Ikulu itakuwaje?!
Mungu awabariki!
Pia soma > #COVID19 - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
iendelee kuhakikisha amani ya nchi haivunjwi ili nchi iweze kufanya shughuli za maendeleo wao wanataka kuichonganisha na wananchi ili tu kufuta legacy ya JPM.