Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumishi wa Bwana
Nataka ujuwe sipingani na wewe wala sipo kinyume na wewe, nataka nieleze mawazo yangu kuhusu somo lako la leo kuhusu kuchanjwa.
Leo umehubiri kuhusu chanjo kwamba waumini wako wasikubali kuchanjwa, napenda nikufungue macho kidogo uweze kuona,
Nilipozaliwa nikiwa mtoto mchanga kutoka tumboni mwa mama yangu nilichanjwa chanjo tano siku ile ile nazaliwa,na kwa taarifa yako hao wazungu unaowapinga kwa nguvu zote wangependa kuniangamiza wangenimalizia kwenye zile chanjo tano nilizopokea wakati nazaliwa.
Napenda nikusaidie upate kuelewa,dunia hii tunayoishi inaongozwa na watu wachache sana wala hawafiki kumi
Napenda nikufahamishe kabla corona haijaingia kuna watu walikuwa na taarifa,nimekueleza hilo ili ujue nini kinaendelea duniani
chanjo ya corona inatoka kwa wazungu na wao wameonyesha mfano kuanza kuchanjwa wao.
Nataka ujue kama wazungu wana nia mbaya na sisi wangeweza kutumia njia yoyote ile kutumaliza,
Kwa taarifa tupo mikononi mwao na sisi kama waafrica hatuna chance ya kusimama mbele yao kwa kuwa hatuna jambo lolote tulilofanya katika kuchangia maendeleao ya dunia tangu tunajitawala mpaka muda huu
Mtumishi naomba ujuwe kuna dunia,mwili na roho,haya ni mambo matatu yanayotofautiana sana na sijakusikia ukigusia,huu mwili ukipata chanjo hauwezi kuathiri roho kwa sababu kila kitu kinajitegema,kumbuka ukifa roho inatoka ndani ya mwili na huo mwili unabaki kurudishwa mavumbini
Shirika la Afya Duniani linasimami chanjo dunia nzima unaingilia kati na kuanza kuwanyima washarika wako wasichanjwe naona kuna hatari inakujia hapo mbele
Corona inabadilika kila siku vipi kikija kirusi ambacho waliochanjwa wanapona na ambao wamechanjwa wanakufa??
Utaficha wapi uso wako Mtumishi wa Bwana
Nikiwa kama mkristo aliyeokoka nakushauri ubiri ujumbe wa aina nyingine kwa sababu haya mambo ni magumu kidogo,kumbuka ni watumishi wangapi wa Mungu wamekufa kwa corona?
Wewe umesema ni mkristo lakini hujui lengo la Kristu kuja duniani. Fikra zako dhaifu ndio maana umekuja na mawazo dhaifu. Mimi sio muumini wa gwajima lakini nafahamu hakuna kinachoweza kumuangamiza binadamu zaidi ya kukosa maarifa.Kwa taarifa tupo mikononi mwao na sisi kama waafrica hatuna chance ya kusimama mbele yao kwa kuwa hatuna jambo lolote tulilofanya katika kuchangia maendeleao ya dunia tangu tunajitawala mpaka muda huu
Tufafanulie hiyo scientific reasoning.
Kama akitokea mtu na kushibitisha kasoma na Gwajima A-level nitampa ths 100,000. Ukweli ni kwamba hajasoma hata A-level na stori yake ya maisha ni fake. Leo hii tunataka kumlinganisha na madaktari wa binadamu😷 tuacheni vichekesho
Vyombo gani vinamfunga mtu aliyetumia mbinu kutengeneza gobole badala yakumpeleka viwandani,halafu utegemee wawe na uwezo wa covidWatu sio kwamba hatutaki chanjo. Hoja ni kuhakikishiwa usalama wake. Sio na hiyo WHO bali na vyombo vya serikali yetu.
Kama vyombo vya serikali haviwezi tujitafakari kama Taifa.
Hata mimi niliwahi kuuliza swali kama hili.Gwajima amesema Chadema ni chama cha demokrasia hivyo ni lazima Mbowe aishi kama mwanademokrasia na siyo dikteta.
Kama Freeman Mbowe analazimisha chanjo angali yupo Ufipa je akifika Ikulu itakuwaje?!
Mtumishi wa Bwana
Nataka ujuwe sipingani na wewe wala sipo kinyume na wewe, nataka nieleze mawazo yangu kuhusu somo lako la leo kuhusu kuchanjwa.
Leo umehubiri kuhusu chanjo kwamba waumini wako wasikubali kuchanjwa, napenda nikufungue macho kidogo uweze kuona,
Nilipozaliwa nikiwa mtoto mchanga kutoka tumboni mwa mama yangu nilichanjwa chanjo tano siku ile ile nazaliwa,na kwa taarifa yako hao wazungu unaowapinga kwa nguvu zote wangependa kuniangamiza wangenimalizia kwenye zile chanjo tano nilizopokea wakati nazaliwa.
Napenda nikusaidie upate kuelewa,dunia hii tunayoishi inaongozwa na watu wachache sana wala hawafiki kumi
Napenda nikufahamishe kabla corona haijaingia kuna watu walikuwa na taarifa,nimekueleza hilo ili ujue nini kinaendelea duniani
chanjo ya corona inatoka kwa wazungu na wao wameonyesha mfano kuanza kuchanjwa wao.
Nataka ujue kama wazungu wana nia mbaya na sisi wangeweza kutumia njia yoyote ile kutumaliza,
Kwa taarifa tupo mikononi mwao na sisi kama waafrica hatuna chance ya kusimama mbele yao kwa kuwa hatuna jambo lolote tulilofanya katika kuchangia maendeleao ya dunia tangu tunajitawala mpaka muda huu
Mtumishi naomba ujuwe kuna dunia,mwili na roho,haya ni mambo matatu yanayotofautiana sana na sijakusikia ukigusia,huu mwili ukipata chanjo hauwezi kuathiri roho kwa sababu kila kitu kinajitegema,kumbuka ukifa roho inatoka ndani ya mwili na huo mwili unabaki kurudishwa mavumbini
Shirika la Afya Duniani linasimami chanjo dunia nzima unaingilia kati na kuanza kuwanyima washarika wako wasichanjwe naona kuna hatari inakujia hapo mbele
Corona inabadilika kila siku vipi kikija kirusi ambacho waliochanjwa wanapona na ambao wamechanjwa wanakufa??
Utaficha wapi uso wako Mtumishi wa Bwana
Nikiwa kama mkristo aliyeokoka nakushauri ubiri ujumbe wa aina nyingine kwa sababu haya mambo ni magumu kidogo,kumbuka ni watumishi wangapi wa Mungu wamekufa kwa corona?
Hii nchi bd sn ndugu yangu, kuna watu wameshikwa masikio na mcheza porn ujue.Mtumishi wa Bwana

Mbowe amependekeza. Na angekuwa na uwezo wa kukulazimisha kuchanja leo asingekuwa ndani.Kunilazimisha nichanje kwa nguvu sio kuvuruga amani?
Una hakika gani CHADEMA ndio wanajua kuliko raia wote wa nchi hii? Kama nyinyi CHADEMA mnadhani mnayo justification ya kulazimisha watu kuchanja vile vile na CCM nao wanayo justification ya kulazimisha amani ya nchi hii isivunjwe.