#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Kwangu chanjo ya corona haijanifanya niwe hai mpaka sasa hivi! Nitaendelea na vilivyonilinda dhidi ya vijicorona, malaria, hepatitis B, ukimwi nk! Chanjo ya corona haimo ktk orodha ya walinzi wangu and guess what...I'm happy and peaceful! We panya wa majaribio kimbilia experimental vaccine!
 
Babu na bibi zako wengi wamekufa kwa Corona wewe ngumbaru
 
Alichoongea gwajima kuhusu chanjo ndo ukweli wenyewe......
 
Yeye ametoa hoja kwa nini uchanjwe then ufate taratibu ambazo mtu asiechanjwa anafata? Inakuwaje upewe chanjo ya Ukimwi then unaambiwa utumie condom kunyanduana??
 
We
Ww kichaa, hata Gwajima hajapinga chanjo na hata yy na watoto wake wamechanjwa chanjo za ukweli siyo hiyo ya majaribio ya corona inayogandisha damu! Na pia chanjo tulizochanjwa sote huko nyuma zilikuwa hazihusishi vina7!
Mimi nipo na Gwajiboy ktk hili, siko na wasomi uchwara waliokaririshwa na pia kupokea mlungula kuwahadaa wadanganyika! Ww mbulula hujiulizi shaka na wasiwasi uliopo juu ya vijichanjo uchwara hivi vya corona kuwa kuna kitu nyuma ya pazia!?
Huko nyuma, kuna chanjo yoyote iliyowahi kutiliwa shaka kama hii ya corona?
Shaka yote hii ikithibitishwa na matukio ya vifo na mikasa mingi kwa waliochanjwa bado haigongi kengere la hatari kwako!
Nenda kajifanyie majaribio peke yako, tuache na Gwajima mzalendo sisi kwa amani ebo!
Kwa kifupi: Hatuma imani na hiyo chanjo yenu ya majaribio!
 
Noo sio kibwetere yy anataka kujua kuna components gani ndani ya hii chanjo kwanza ndio itumike haawamrishi waumini kijinga na wewe uelewe vizuri kwanza
Hajaongelea suala la kujua components yeye amesema kwa kuwa chanjo ni hiari tutumie hiari kuikataa tena kasema hata madokta na manesi (ikumbukwe wapo frontline na kwenye mazingira hatarishi sana) ni vibaya kuanza nao kuchanjwa
 
 
Umenifumbua macho pia

Kuna "Roho" na "Mwili".inamaana askofu ameacha ku-deal na Roho za watu na anashughulika na miili inayoharibika baada ya kufa kwa "korona" au "kinga" ya corona
Ww kadungwe tu usitusumbue...panya wa majaribio 😜!
 
Mshaambiwa chanjo ni hiari, wizara ya afya ishatoa go ahead kwa kila mtu afanye aonavyo.

Mshaanza kuleta siasa na huku tena, Gwaji kama yeye anaiona sio sawa asichanje na sio kushawishi wengine wasichanje pia.
 
K
Hajaongelea suala la kujua components yeye amesema kwa kuwa chanjo ni hiari tutumie hiari kuikataa tena kasema hata madokta na manesi (ikumbukwe wapo frontline na kwenye mazingira hatarishi sana) ni vibaya kuanza nao kuchanjwa
Kwani ww unauhakika kilichofungwa humo ni chanjo ya corona kama corona!? Hauhitaji kujua nini hasa hiyo human genetic engineering vile itakufanya😜?
 
Wee ninani mpaka umbishie mtumishi wa Mungu
Hajapinga Wala hajabishana nae, jaribu kusoma kwa umakini utaelewa. Hayo ni mawazo yake binafsi habishani, Unadhani waizrael wote wange msikiliza Musa kwa mawazo yake ya kibinadamu; wangeingia nchi ya ahadi? Uvushwe jangwani na MUNGU halafu ushindwe kuingia kwenye mji? Tena si kilomita nyingi Kama kule jangwani walivyo hangaika kutembea usiku na mchana. Mambo ya kiroho tusichangaye na myama ilio shikiliwa na mifupa.
 
Inawezekana hiyo chanjo itawaanda wanajeshi na askari kuwa mazombi kutekeleza maelekezo ya waliozitengeneza hizo chanjo majaribio ya vina7! Hii ni pamoja na wahudumu wa afya ili tukose pa kukimbilia! Wakiambiwa asiyechanjwa mteseni mpaka aipokee chanjo...hii mizombi iliyochanjwa itatekeleza bila kutumia common sense zao za kuzigatia miiko ya taaluma zao na haki za binadamu! Maana inaweza kuwa watakuwa'controlled somehow 🤔!
Sina imani na chanjo ya majaribio ya corona ya vina7!
Siafiki kuchanjwa majeshi yetu na wataalamu wa afya!
 
Mtumishi wa Mungu yupo sahihi, hili swala la Corona tuendelee kumuomba Mungu atuepushe nalo
Maana hatujui hao wazungu wana mpango gani na sisi, hata viongozi wetu ni kuwa nao makini sana na kuzidi kuwaombea Mungu awe kiongozi wao
 
Yeye ametoa hoja kwa nini uchanjwe then ufate taratibu ambazo mtu asiechanjwa anafata? Inakuwaje upewe chanjo ya Ukimwi then unaambiwa utumie condom kunyanduana??
Kuna chanjo inayotoa "sterilizing immunity" hiyo inazuia kabisa mwili kupata maambukizi ya ugonjwa, ni chanjo chache sana zenye uwezo huo hata kwa magonjwa tuliyoyazoea kama kifua kikuu ndio maana hata watu waliopata chanjo zamani ya kifua kikuu wanaweza kupata maambukizi mapya , kuumwa na kuambukiza wengine.

Chanjo yoyote ikiwemo hata hii ya corona inategemea na mwili wa mtu, wapo ambao itawalinda kabisa wasipate maambukizi, wapo ambao watapata maambukizi lakini hautokuwa ugonjwa mkali unaohitaji mtu apelekwe hospitali, unakuwa tu kama mafua ya kawaida tu, ama uchovu (chanjo zilizopitishwa na WHO zinafanya hili kwa ufanisi mkubwa) hivyo dhumuni la chanjo ni kuongeza kinga ya mwili kuuwezesha upambane na hivyo virusi huku kukiwa na uhakika wa asilimia kubwa (kama sio 100%) kwamba mtu hatofariki kutokana na maambukizi hayo.

Tatizo la kutokufuata miongozo ya wataalamu kwa ugonjwa kama COVID-19 baada ya kupata chanjo ni kwamba unaweza ukapata virusi wala usijue wakati mwili wako unapambana kwa ufanisi wa juu lakini ukawa unaambukiza wale ambao bado hawajapata chanjo. Pale ambapo asilimia kubwa ya wananchi hasa wale waliopo kwenye makundi hatarishi wakiwa wamepatiwa chanjo ni rahisi kuachana na hayo masharti ya kujilinda na corona.
 
Wewe hata uandike vipi watz wachache sana watachoma...survival late ni 99.9% wagonjwa hawataki 1000 kati wa watu mil 60, kwann tu vaccinate watu without knowing the long term impact? Hapa wamenoa
 
Yeye alishachanjwa kitambo Sanaaaaaa,ni muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…