Kama chanjo imekuja na ni salama,hofu ya nini kuwachanja wanajeshi na polisi, kwani hata wao wanaweza kuwa sehemu ya kusambaza maambuzi kwa wengine, kama wao hawafai kuchanjwa basi na wengine hawafai kuichanjwa,hili siyo taifa la wanajeshi na polisi ni taifa na watanzania wote.
Maandiko ya kisayansi yapo yanayoelezea jinsi chanjo inavyofanya kazi na composition yake na hata majaribio yaliyofanyika kuweza kujiridhisha ufanisi wake....serikali kupitia vyombo vyake husika ndio ina uwezo wa kuhakiki kilichomo...wewe unafahamu chemical composition ya coca cola ?K
Kwani ww unauhakika kilichofungwa humo ni chanjo ya corona kama corona!? Hauhitaji kujua nini hasa hiyo human genetic engineering vile itakufanya😜?
Chadema wachanjwe kwa lazima ili kuonyesha wanamtii mwenyekiti wao.Polisi wachanjwe tena ya kwenye macho
Nilichofanya ni kujibu hoja zako, ili kama kuna mtu hajafanya maamuzi asome pande mbili za shilingi na afanye maamuzi.Wewe hata uandike vipi watz wachache sana watachoma...survival late ni 99.9% wagonjwa hawataki 1000 kati wa watu mil 60, kwann tu vaccinate watu without knowing the long term impact? Hapa wamenoa
Kwanini amesema hayo??
Huyu Bwana ni kama Mganga wa Kienyeji.Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo.
Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo.
Askofu Gwajima amewataka wafuasi wake na wapiga kura wa jimbo la Kawe wakatae kabisa kuchanja kwa sababu watapata hasara kubwa sana maishani.
" Naikataa kabisa chanjo ya Corona " amesisitiza baba askofu.
Chanzo: Mtandao wa You tube!
Watu weusi unafikili tuna akili, watu hawataki hata kujifunza kwa historia tu. Kitu hakijafanyiwa clinical trials za kutosha kujua long term effects lakini mi mtu inashadadia tuNo zezeta tu anayeweza kupuuza kauli ya Gwanjima,kwani ni Nani anayejua long term side effects ya hizi chanjo!
Kwanini Serikali imejitoa kuwajibika ikiwa mtu atapata madhara! Kama zipo salama?
Hiyo hoja ni ya msingi, haiwezekani ww umepata kinga alafu uendelee kuvaa barakoa.Yeye ametoa hoja kwa nini uchanjwe then ufate taratibu ambazo mtu asiechanjwa anafata? Inakuwaje upewe chanjo ya Ukimwi then unaambiwa utumie condom kunyanduana??
HujumaKuna jamaa anaitwaStephen harmonwa huko LA marekani na yeye alikuwa kama huyo mchungaji na mwishoweCorona + pneumonia, havikumuacha salama
JF imevamiwa na vilaza wengi sana siku hizi hadi watu wanaona uvivu kupitia mijadalaBaada ya miaka 5 tutakuwa na wanajeshi mashoga kama hii chanjo itatumiwa na wanajeshi wetu
No zezeta tu anayeweza kupuuza kauli ya Gwanjima,kwani ni Nani anayejua long term side effects ya hizi chanjo!
Kwanini Serikali imejitoa kuwajibika ikiwa mtu atapata madhara! Kama zipo salama?
Kwani Gwaji anafahamu chemical composition ya panadol kweli? Mbona anahoji components za chanjo ya Corona? Hajawahi kutumia panadol?
Acha upuuzi ww! Tangu lini coca cola imetiliwa shaka! Ndio ninyi mnao kariri na kupita madarasa na kupoteza kitu cha maana kupita vyote kwa msomi...kuhoji/kudadisi!Maandiko ya kisayansi yapo yanayoelezea jinsi chanjo inavyofanya kazi na composition yake na hata majaribio yaliyofanyika kuweza kujiridhisha ufanisi wake....serikali kupitia vyombo vyake husika ndio ina uwezo wa kuhakiki kilichomo...wewe unafahamu chemical composition ya coca cola ?
Unafahamu hasa kiasi cha electromagnetic waves zinazotoka kwenye simu yako kama ni salama ?
Serikali ndio inayofanya kazi ya kujua kipi ni salama kwa wananchi wake, kama serikali na vyombo husika vikisema kitu ni salama, serikali za nchi nyingine zikasema ni salama, taasisi nyingine za kimataifa zikasema ni salama then who are you kupinga bila evidence ? Kama ukisema kisitumike basi weka ushahidi katika mfumo wa andiko la kisayansi ambapo wanasayansi wengine watajifunza kutoka kwako ama kukukosoa.