Mimi ni mwana CCM damu, hapa nasema tena nasisitiza, Halima Mdee akimshinda Gwajima, nitafanya karamu Kawe, nitatoa ng'ombe wawili junia na mchele tena wa basmati, gharama ya mapishi. Yote hayo kwa furaha ya huyu mchawi na mshirikina akipigwa chini. Nina washawishi watanzania wote wa Kawe wampigie kura Halima au mbunge yoyote mwengine isipokuwa Gwajima, nazidi kushauri apigiwe Halima kwa sababu kura zikitawanyika Gwajima anaweza shinda.
Hii ni kama niliyoikuta Nkasi kaskazini, Ally Kessy kabanwa mpaka kwenye kampeni anasema mjomba wake ni Mristo. Naye chanzo ni haya haya kama ya Gwajima.
Kwa wakristo wanaopenda amani kwa vyovyote wamechukizwa na mpango wake huo na watamnyima kura ila kwa mwislam atakayempigia kura Naamini Laaaana ya Allah lazima imfike yeye na uzao wake inshallah.
Mimi nasema asipigiwe kura mtu yoyote kigeugeu ambaye yuko tayari kufanya lolote apate anachotaka ni bora mumpigie kura mtu hata kama kuna mambo hamkubaliani naye lakini amekuwa anasisimama katika yale anayoamini, watu mpaka wanataka kubadili dini? mbona hawa watu wanataka kuleta udini hata kama unaitwa Mohd ndio iweje?
Kwa kweli miaka hii mitano tumeanza kuona hii migawanyiko kila siku na viongozi sababu ndio wanashabikia yanazidi kukua hii ni hatari ni lazima wapigwe stop huko tunakoenda sio salama. Nadhani viongozi waanze hakuna tena viongozi wa dini kwenda katika kuomba du'a katika mikutano ya kisiasa hata shughuli za kiserikali marufuku, kila mtu ataomba katika nyumba zao za ibada na mbaya zaidi du'a zenyewe kama kumdhihaki Mungu tu hakuna uhalisia. Naomba viongozi wasikie hili viongozi wa dini hawatakiwi katika mikutano yoyote katika uchaguzi na baada.
Ninapomsikiliza huyu jamaa najiuliza maswali mengi Sana aliwezaje kuteka akili za waumini wake na wakamuamini. Kwa akili ndogo tu unagundua huyu jamaa kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi muamini.Nimshauri tu aache kasumba majina ni utamaduni Sio dini.
Nawasilisha.