Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Na Mimi ni Mwana Ccm tena Mkazi wa Kawe kanisani, katika Mambo yatayonihuzunisha kwa kweli ni Sisi kupata ushindi kwny Jimbo hili!


Kamati kuu ya Ccm imetudharau sana watu wa Kawe kutuletea hiki Kinyago
MIMI NI MWANA CCM DAMU, HAPA NASEMA TENA NASISITIZA, HALIMA MDEE AKIMSHINDA GWAJIMA, NITAFANYA KARAMU KAWE, NITATOA NGOMBE WAWILI JUNIA NA MCHELE TENA WA BASMATI, GHARAMA YA MAPISHI. YOTE HAYO KWA FURAHA YA HUYU MCHAWI NA MSHIRIKINA AKIPIGWA CHINI. NINA WASHAWISHI WATANZANIA WOTE WA KAWE WAMPIGIE KURA HALIMA AU MBUNGE YOYOTE MWENGINE ISIPOKUWA GWAJIMA, NAZIDI KUSHAURI APIGIWE HALIMA KWA SABABU KURA ZIKITAWANYIKA GWAJIMA ANAWEZA SHINDA.
 
Sasa nyie jamaa mnashangaza sana Yani badala ya kujikita kueneza sera zenu wananchi waone kama zinaushawishi badala yake mmekalia kumshambulia Gwajima kwa mambo ambayo yalishatolewa ufafanuzi.

Halima maskini jipya hana!
 
Ni kwa bahati mbaya sana bora hata Chadema wangeleta mtu mwingine lakini siyo Halima!

Halima hana jipya!

Hata Campaigns zake Safari hii zimepwaya sana !

Faraja yake imebaki kwenye mtandao wa JF walau akisoma michango yenu ya kumsakama Gwajima yamkini anafarijika lakini sasa haisaidii kitu.
 
Uzuri wana Dar es Salaam walishamaliza uchaguzi wanasubiri matokeo tuu

Chiddy kiboko yao😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom