Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Desperate times, calls for desperate measures.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kura ni ushauri wa Shehe wa mkoa DarMie simuwazii sana Rashid bali najiuliza iliwezekana vipi wakamwalika mtu mwenye akili kama Rashid kwenye jambo muhimu vile?
KumbeAliyesema Waislam wanaabudu Majini ni nani vile!?
Mimi ni mwana CCM damu, hapa nasema tena nasisitiza, Halima Mdee akimshinda Gwajima, nitafanya karamu Kawe, nitatoa ng'ombe wawili junia na mchele tena wa basmati, gharama ya mapishi. Yote hayo kwa furaha ya huyu mchawi na mshirikina akipigwa chini. Nina washawishi watanzania wote wa Kawe wampigie kura Halima au mbunge yoyote mwengine isipokuwa Gwajima, nazidi kushauri apigiwe Halima kwa sababu kura zikitawanyika Gwajima anaweza shinda.
Lwa hiyo yeye ni Rashiboy sio!Mfa maji haachi kutapatapa
AnajichanganyaAtaropoka yote mwaka huu, walimsomesha akiwa mdogo halafu alivyokuwa mkubwa akawageuka kwa kusema angekuwa na uwezo angebadilisha misikiti yote iwe Sunday School.