Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

[emoji23][emoji23]
IMG-20200930-WA0009.jpg
 
Huyo Askofu tapeli Gwajima mpigeni chini fasta.

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yeye na Makonda.

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo kama mang'ombe
 
Jamani watanzania mtaamka lini? Hawa wanasiasa wana imani kuwa ni wao tu ndio wenye akili na ndio pekee wenye uwezo wa kutumia akili zao kutafakari mambo. Huyu anadhani watu wamesahau nini amesema kuhusu dini nyengine? Pia amesahau kama kuna clip yake ya ngono mitandaoni?
 
Rashid sio jina la kiislamu bali ni jina la kiarabu. Kuitwa jina la kiarabu hakumaanishi mtu ni muislamu. Kuna watu tele katika nchi za kiarabu kuanzia palestine hadi saudia wana majina ya kiarabu lakini si waislamu na hawana connection yeyote ile na uislamu.
 
Tapeli lililo kubuhu hili, likataeni wana Kawe.

Hapo kwenye kisima chake, ng'ambo ya mto wa Mkupita, njia ya kwenda Majengo alikuwa anauza maji, Wala alikuwa hatoi bure Kama anavyojinasibu tapeli huyu.

Huyu ndiye alisema dini ya Kiislam ni ya kishetani. Msisahau
 
Mgombea Ubunge Jimb la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima

Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali

Kutokana na suala hilo Gwajima amesema alipata sababu ya kuusaidia uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga visima vya maji

Gwajima aliyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya darasa la saba ya shule ya Al Irshaad

View attachment 1605612
Juzi nilisikia jina lako lingine ni Ponda ..Ponda leo Rashid tena ....basi kuna mgongano kama wabosi chini kwenye link hii chini....
https://www.jamiiforums.com/data/video/2595/2595093-06f76a99b7563e0d95a1b065f58fb823.mp4
 
Mimi ni mwana CCM damu, hapa nasema tena nasisitiza, Halima Mdee akimshinda Gwajima, nitafanya karamu Kawe, nitatoa ng'ombe wawili junia na mchele tena wa basmati, gharama ya mapishi. Yote hayo kwa furaha ya huyu mchawi na mshirikina akipigwa chini. Nina washawishi watanzania wote wa Kawe wampigie kura Halima au mbunge yoyote mwengine isipokuwa Gwajima, nazidi kushauri apigiwe Halima kwa sababu kura zikitawanyika Gwajima anaweza shinda.
Ccm yote kwa ujumla ipumzishwe ikae pembeni ijifunze kuheshimu umma.

Tumalizane na ccm tarehe 28.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/37060758
 
Back
Top Bottom