PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)


Gwajimanization nimeipenda sanaaaaaaa
 
 
Nitakua hapa siku ya press inayofuata pale ambapo watekaji wataacha kumfuata fuata..."moshi utakapo toka na watu kukosa sehemu ya kupumulia".....

What a choosen saviour.
 
Nitakua hapa siku ya press inayofuata pale ambapo watekaji wataacha kumfuata fuata..."moshi utakapo toka na watu kukosa sehemu ya kupumulia".....

What a choosen saviour.

Ngoja tuone yanayowaunga mkono watekaji kama bado yangali yanapumua. Kwa hakika si kwa makombora ya masafa marefu haya!
 
Sio maneno yangu, msikilize
 

Attachments

  • _storage_emulated_0_Android_data_com.fawazapp.blackhole_files_DCIM_blackhole_8Z57G386WQRB8NBSO...mp4
    2.8 MB
Suala la ccm kuteka,kutesa,kubaka na kuua watu kwa ajili ya tumbo lipo halikuanza leo
Kuna wazee walikuwa wanasema mambo yote maovu yanayo endelea ccm hivi sasa yalianzishwa na "mwalimu" hakika mtu huyu aliingiza nchi matopeni.
 
Safi hiyo hatuwezi kuwa kwenye nchi ambayo kutekana imekuwa ndio tabia endelevu .
No reform no election βš’οΈ πŸ’―
 
MANINA, MWANAMKE KAPIGIWA HAPA

"Gwajimanization ama Gwajimanizing ni ujasiri usioteteleka wa kusema kweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani, ni dhamiri thabiti ya kutetea maslahi ya taifa kuliko maslahi ya mtu binafsi na kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba, kiasi cha kusababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhulma katika nchi."
 
Kujiamini hivi kwa gwajima Kuna watu Makini kabisa nyuma yake....Gwajiboy ni chawa tu sema uchawa wa maana Kama huu naupenda..πŸ₯°
 
Tayari NO REFORM NO ELECTION imetekewa na G-Boy ahhhh hatari sana
 
Ni kama amepoteza direction, lengo lake halikuwa ilivyopokelewa.

Let's see
Nani unamzungumzia sasa, Samia au Gwajima?

"...lengo lake" lilikuwa lipokelewe vipi?

"...ni kama amepoteza direction..."? 'Direction' uliyokuwa nayo wewe ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…