Sio mziki tu,kavamia mtubwi na mziki wa vibwengo vyote kwa pamoja.Mkamaria atajua hajui.Yule ponjoro usikubari yahishe kumbuka ya bashite .sasa kama unataka mziki wa misomisondo tulia na unamakashabraka yako kwa gwajima.
leo kakuweka kiporo.
kumbe majina kama chura,kasongo na leo pnjoro tumelijua ni lako.
Anasema kama mtu atakaye mchokoa kwa wiki hataitisha press mara mbili kwa wiki.
SASA WASANII KUWENI MAKINI
😁😄😂🤣😁😁😄😄😂😄😄😄😁Hivi ponjoro ni lidudu gani?nimetafuta kwenye google siioni😀
Kumbe ndo kilukas hiki
Subhanallah!🫸🫷🧐Mtumishi wa Mungu anazidi kuwachachafya watekaji na wauaji wa Wawatanzia.
Aaapa mbele za Mbingu, ataendelea kuwachachafya Hadi Utekaji Ukome mara Moja.
Nyumbu mchukueni huyo mwehu wenu kwa maana wambea kama hawa ndio mnaowapendagaAskofu gwajima asema CCM si chama cha utekaji, na kinapinga kwa nguvu zote kama yeye anavyofanya. Asema utekaji si sera ya CCM, ataendelea kuipenda CCM lakini kwenye utekaji atakataa milele.
Asema ukiona anaongelea utekaji na watu wanampinga basi wapo watu wanajua hiyo itakuwa inamaanisha nini.
Kenge hatuhitaji D2 kuelewa si ndio?🌚
Atajuta Sana Sana Aombe MsamahaSio mziki tu,kavamia mtubwi na mziki wa vibwengo vyote kwa pamoja.Mkamaria atajua hajui.
Yarabi Toba!Na mtekaji tumeshamjua.ni yule aliyesema gwagimanization kwenye mkutano wa ccm
Wasisahau kufunga fikra na maono yao.Ufungaji mwema.Naomba kanisa lake lifungwe
Sub namuona Mpina anapasha salaleeeeeeeeGwajima anasukuma kete ngumu sana huku akiwa nyuma ana mabeki wakatili na striker hatari hajakurupuka we tulia uone nani anaanza kuingia King.
Google inasema ni mdudu anayeviringisha mavi kuwa kama mpira na kusafirisha kwa ajili ya chakula na kutagia mayai.Hivi ponjoro ni lidudu gani?nimetafuta kwenye google siioni😀
Wewe mtetezi wa raia wa kigeni (SAMIA)pata aibu,Samia sio mtanganyika na hivyo hapaswi kutetewa kwa kuuwa raia wa Tanganyika,mbona kwao hakuna mauwaji ukilongania na TanganyikaNyumbu mchukueni huyo mwehu wenu kwa maana wambea kama hawa ndio mnaowapendaga
Mkuu una umri Gani?Yaani anataka kusema hata Samia ndio mtekaji huyu ashikwishwe adabu...
Na hii TCRA wataiondoa mtandaoni? Kweli watekaji hawana aibu.Mtumishi wa Mungu anazidi kuwachachafya watekaji na wauaji wa Wawatanzia.
Aaapa mbele za Mbingu, ataendelea kuwachachafya Hadi Utekaji Ukome mara Moja.