Mwaisa sokapa
Member
- Jul 13, 2020
- 91
- 20
We ndie utampigia kura na bibi yakoAta muongee vipi ndio mbunge wa kawe ajae
Askofu yupo wapi apo you beach boy tu!Hapa Jimbo la kawe linarudi Ccm
Hakuna ujanja maana Askofu anakubalika Sana kawe
Aaaah hamna lolote jimbo litabaki kwa chadema lbd yule mdada kamanda Mdee aamue tu kuacha kugombea ila Gwajima katumwa na Mbowe ili kuwavuruga CCM wala hana shida na ubunge huyo bishopChadema wameshapoteza jimbo.
Halafu sijui mbogamboga wanna Nyota ya jehanam? Maana watu wa hovyo hovyo, madhulmati na wahuni hukimbilia huko! Kuna watu wa hovyo kabisa lumumbaJamaa wa Mbogamboga watakua desperate sana wakihangaika na huyo mcheza Porn.
Hahah afu mzee hebu angalia kwny profile zao hizo ID zote mpya zimejoin tarehe ngapi then utapata picha kwamba kuna INGIZO JIPYA kwa kazi maalum.Ndio somo analo wapa gwaji boy aka beach boy
Unaota ww kashapita uyookura ya maoni hapiti
Kwani ukichukua fomu ni lazima uvae sare za Chama? Mbona Dr. Tulia amevaa nguo za kawaida tu na amechukua fomu.
Hahah daah kama wana nyota ya Jehanam na wakimuongeza Gwaji boy hapo team yao inakua PERFECTO.Halafu sijui mbogamboga wanna Nyota ya jehanam? Maana watu wa hovyo hovyo, madhulmati na wahuni hukimbilia huko! Kuna watu wa hovyo kabisa lumumba
Ndo utakapo ona Sasa akipita sijuw utaweka wapi uso wakoTaasisi ya bunge inakosa hadhi Sana siku hizi, hata wacheza pornography wanathubutu kugombania uongozi?
Subiri tuone Kama Lumumba watampitisha mzinzi huyu tapeli anayewatapeli watu kwa mgongo wa dini
Gwajima hatari sanaa🔥🔥🔥Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.
Tulishapita huko zama za ujima pambaneni nazo tupo tuna pambana na mataifa mengine uko bakini nyie sisi acha tupambane na Wazungu na wa China wa India nyiye bakini kwenye ujima!Nawe kaoteshe kweny kabila lako
Kumbe unataka somo sas siumesema tangu mdaa tu! Somo ni gwaji anapita kawaeleze wengineNdio somo analo wapa gwaji boy aka beach boy
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.