LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Haha chama cha mashetani
 
Siasa na Dini zote Zina lengo lakumletea binadamu uzuri wa maisha hapa duniani na hapo baadaye. Hivipingani vinakamilishana.
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Kilichozungumzwa hapo kinahusiana vipi na uchochezi mkuu?
 
Tunawaambia kila siku chadema ni chama cha wakristo, haya sasa wakatoliki haooooo
NB:
Ukinijibu jibu kwa hoja sio mihemko
Ukitukana, nitakutukana mara mbili

..tuna matatizo na mapungufu makubwa sana ktk mifumo ya uchaguzi hapa nchini.

..Na mifumo hiyo mibovu inawaathiri Watanzania wote bila kujali imani zao.

..Tusiingize shutuma za udini wakati huu wakati suala lililopo mbele yetu linatugusa wote bila kubagua imani zetu.

..Watanzania tulitegemea mchakato mzuri wa haki na uwazi kwenye uchaguzi katika kila hatua.

..Hiki walichofanya TAMISEMI ni chini kabisa ya viwango,na ni kinyume na falsafa ya 4R.
 
Tupo hapa tutaona.......wanaenda kufeli kama walivyofeli kule DRC kwa Tshisekedi ,,DRC ina wakatoliki wengi kuliko Tanzania ila hao vibaraka wa papa walitulizwa
Kwa taarifa yako bila hao maaakofu, bado Kabila angeendelea kuwa rais wa DRC kwa shuruti. Ni maaskofu waliosimama kidete kuhakikisha anatoka madarakani. Ccm inatambia uhalifu kukaa madarakani, na wanakaa madarakani kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Ni juu ya jeshi kukata huu ushirikiano unaoilinda ccm kukaa madarakani kihalifu.
 
Kwasababu walikua na sapoti pia ya wananchi,,,,ila bila hivyo hawana hizo nguvu ambazo huku wengi wanafikiri hao jamaa wanazo
Walijifanya kususa ila baadae wakaamua yaishe
 
Askofu Juda Ruwa'ichi ,ukumbuke kuwa walio simamia uchaguzi wa serikali za mitaa ni waumini wako na wengine Kila jumapili wanashiriki mkate WA bwana!

Ni nini mawazo Yako kwenye jambo hili?
 
Wananchi hatuna thamani tena maana zamani walikuwa wakihofia watanyooshwa wakati wa uchaguzi lakini sasa hivi hawana hofu hiyo tena kwa sababu wanajichagua wenyewe wanaamua tu jimbo fulani wamtangaze mshindi kapata kura ngapi basi.
 
Kwani Yeye hakupata mgawo wa zile billion za Samia?
Alipewa milioni kumi za " Happy Birthday"; wakidhani ndio kumnunua hivyo.
Hawajui kwamba kuna watu hawanunuliki inapokuja kwenye maswala muhimu.
 
Huyu nayeee, mfyuuuu!
Ulikuwa naye hapo jijini, na unaelewa alivyo kubalika hapo, labda uwe ulikuwa bado hujazaliwa.

Wewe unayo matatizo, hili siyo swala la kuwa 'chawa' pekee. Kuna jambo haliko sawa unapo furahia waTanzania wenzako kuondlewa uhai, kwa sababu tu wanao fanya hivyo ni kundi lako.
 
Uhalifu si siasa, kama uhalifu ndio siasa ni haki kwa wengine kuingia msituni kufanya hizo siasa mnazotambia.
kaa kimya wew hujapiga hata kura,
unambwelambwela tu hapa allaaa!πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…