Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Yuko sawa 100%! Rais Samia amekosea sana, wakati anawafuata hao Waarabu alimshirikisha nani?
Ukitaka kujua nia ovu kwenye huo mkataba, ni kwamba inakuwaje jambo kubwa kama hilo Rais Samia na ka kikundi ka watu wachache wasaini mkataba kama huo tena ughaibuni!
Baba Mchungaji tunakuunga mkono kwa kusema HAPANA!
 
Ustaz mkuu yupo kwenye video?
 
Aya mavingereza mngeyatumia kosma vizuri ule mkataba tusingekua tulipo , vingereza vingi huku nyuma mnapigwa mtama na warabu ,sasa vinawasaidia nini
 
Aya mavingereza mngeyatumia kosma vizuri ule mkataba tusingekua tulipo , vingereza vingi huku nyuma mnapigwa mtama na warabu ,sasa vinawasaidia nini
Kwani mkataba watu walipata nafasi ya kuupitia na kutoa maoni yao serikalini kabla haujapitishwa kwa haraka bungeni?

Mkataba wenyewe umepatikana kwa kuvuja.

What are you talking about?
 
Huu mkataba utasababisha nchi kitaifishwa kizembe na mwarabu. Ataenda kwenye libenki kubwa huko atakopea mapesa ya kuiendeleza Dubei. Lakini riba italipwa na Tanganyika. MUDA WA KUIKOMBOA NCHI UPYA UMEFIKA.
 
Mtanganyika anayekamata mtanganyika mwenzake mwenye kupigania mali za Tanganyika ajihoji mara mbili mbili
 
Hoja za kipuuzi kabisa, hamna hata fact. Anayeweza kuwashangilia ni mbumbumbu tu asiyejielewa. Eti tuchanganye damu na warabu. Poor minded
 
Zamani Eti walikuwa wanaelekeza Hadi aina ya mahuburi,

Eti hubirini tu kuhusu AMANI na Si HAKI,

Wambieni kuwa msipoichagua CCCm itatokea vita,

Yaani muuze Nchi tunakaaje kimya?

Hiyo ndio INJILI, ni kuwaambia watu dhambi Yao, kama ni Mwizi aitwe Mwizi Kwa Jina lake.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
 
Sasa tuna Ongeza lugha moja.
Mungu yupo
 

Attachments

  • 5AEC3902-2A17-4155-B189-F2F830889A1D.jpeg
    57.1 KB · Views: 2
  • 38F236F4-068D-46A8-BBC3-5F59D4834BCF.jpeg
    83.5 KB · Views: 2
Reactions: K11
Yaani wapingaji wa mkataba huu kwa sehemu kubwa ni wagalatia. Hata mkutano wa kesho watakaohutubia ni wagalatia.
Kwa hili mnatia mashaka ikiwa issue ni mkataba tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…