Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mumemuua huyu Mzee wa watu
Umeshindwa tu kuelewa, mfano hapo mchungaji hakuna sehemu kaipambania ccm ametoa ushauri wa mambo ambao yataijenga nchi. Au we kwa mtazamo wako unahisi mambo yanaihusu chadema?Kwanini maaskofu na wachungaji wanaipambania sana Chadema?
Chadema ni chama cha Kikristo?
BAK hivi kulikuwa na figisu gani mpaka JWTZ wakaingilia kati kuhusu kuapishwa suluhu?
Tunaomfahamu ndiyo maana tulijua ni mkombozi wa nchi hii wa ukweli baada ya Nyerere. Acha vichelema kama Tundu Lissu vibwabwaje tu. Nia ilikuwa kuitanya tanzania ifike pahala kimaendeleo lakini .... kama mchezaji akitaka kufunga goli akakanyagwa mguu usiweze kupiga huo mpira.Kwa hii historia, Magufuli alirisk sana uhai wake kubeba jukumu la kuhudumia wananchi
Ni upendo
hasa ile sukuma club mbao walikuwa wamejibinafsisha nchiNadhani JWTZ walikerwa na uongo uliokuwa unaendelea wa kuficha kifo cha jiwe ili tu washamba wapate mtu wao wanayemkubali ili Mama Samia asichukue kiti cha Ikulu. Hivyo wakatishia kutangaza mtu wao. Sijui kama hili sakata la kutomkubali Mama Samia hadi 2025 limekwisha kwani wasiomtaka kwenye nafasi hiyo wanahofia maslahi yao kati ya sasa na 2025.
Alijitoa, na tunamshukuru kwa hilo. Mungu akamfanye kiongozi wa malaika wake mbinguni.
Nileteeni Gwajimaaa!!!! Huyu atamsumbua sana mama kupitia bunge(genge la walio pitishwa na mtukufu) Mama Samia chunga genge hilo linaweza kukupinduaKwanini maaskofu na wachungaji wanaipambania sana Chadema?
Chadema ni chama cha Kikristo?
Unawaafahamu Masheikh wa Uamsho???Kwanini maaskofu na wachungaji wanaipambania sana Chadema?
Chadema ni chama cha Kikristo?
Ile minong'ono kuwa anazimika itakuwa ni kweli lakini alikuwa anazinduka, hata siku ya mazishi ya Mzee Mkapa na siku Ile kule kusini alipata tatizo, ni huzuni alikuwa akijikaza.Kama alijijua kuwa Afya yake haiwezi mikiki ya ofisi hiyo kuu baada ya kaumaliza Ngewe yake ya miaka mitano angewaambia CCM kuwa imetosha
Sasa betrii kwenye Moyo na mikiki yote hiyo so kujitafutia kifo
Mlipokua mnamtembeza Lowasa kwenye kampeni akuwa hawezi kusimama wala kuongea sawasawa mlifikiri ugonjwa wake ulikua unatibika? Au mara hii umeshasahau?Na kawaacha masikini kweli kweli!
CCM msirudie hili kosa tena la kuleta mtu mwenye ugonjwa usiotibika.