nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Mimi binafsi nawaamini wazanzibar, wanahofu ya Mungu, hawana mikiki, hawataki sifa, hawajiinui, kwao blue hawasemi kijani
Shida inawapata wanapokubwa na jini ccm na shetani Tanganyika.
WANAPOTEA
Hawa wazanzibar wangeachwa wajitawale, zanzbr ingekuwa na uchumi mzuri saaaana na mahali pazuri pa kuishi.