Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Matumizi yenu mabaya ya demokrasia kwa maslahi ya amstadam hayakubaliki.
Tunataka demkrasia kwa maendeleo chanya ya taifa letu na hiyo ndio hoja.

Najua hata nafsi yako inajua ukweli ila tamaa imekuzidi nguvu
 
Yes. Alipokuwa anarudi alijuaje kuwa sasa usalama uko shwari3. Alikuja na agenda ya kuichafua Tanzania ameshindwa. Ana kesi iko mahakamani. Anashindwa kuondoka analeta hadithi za kusadikika
 
Demokrasia ya kujaza kura zilizokwisha pigwa kwa wagombea wa CCM au ipi hiyo unayoizungumzia?
 
..mambo ya Tz vs ulaya, au Tz vs America, mimi nilishatoka huko.

..migogoro ya Drc na Libya, ni too nuanced na unakosea kuijadili kwa mtizamo wa Lumumba buku-7.
Najua unanielewa ila moyo wako hauko radhi kukosa maslahi binafsi kwa maslahi ya taifa
 
Yaani anaitisha maandamano halafu yeye anajificha? Siasa za kilaghai zina mwisho wake.
 
Kiki at work
 
Baba Askofu naye ananiangusha sana. Kwenye haya masuala ya siasa ajiite shabiki au mwanachama wa chama husika. Kumpa heshima ya askofu, hata kwenye hizi ghiriba na magumashi, napata ukakasi sana.
Naangalia kuanzia kule kwenye root mpaka kwake, ngoja nifunge mdomo
 
Demokrasia ya kujaza kura zilizokwisha pigwa kwa wagombea wa CCM au ipi hiyo unayoizungumzia?
Unathibitishaje na tuliwaomba mkawe mawakala ili msiibiwe mkagoma...
 
Najua unanielewa ila moyo wako hauko radhi kukosa maslahi binafsi kwa maslahi ya taifa
Hueleweki wacha kulazimisha, unajaribu kuchanganya kila unachojua kwenye akili yako lakini havi apply, hoja zako hazijitoshelezi.

Kwako maslahi ya taifa ni yapi, kuongoza nchi kwa kura feki?!
 
Ameua wengi gizani mfano Ben Saanane, Azory na jaribio lililoshindikana kwa Lissu ila sasa na kuendelea hatajificha tena maana hana cha kupoteza ameshajua hapendwi hivyo tutarajie huyu kiumbe anaemtaja MUNGU kila wakati kuua watu wengi zaidi.
Wewe na wewe ndugu ukiambiwa utoe ushahidi ,unao?
 
Sidhani Kama Kuna chombo Cha serikali kitampiga risasi LISSU kwa hali iliyopo sasa.
Ninachoona sasa ni kuwa Lissu anataka kukwepa kesi zinazomkabili.
Au LISSU anataka kupata kibali cha kuishi Ulaya kupitia mgongo wa siasa.

Kiongozi yeyote mwenye kutoa amri ya kumuuwa LISSU wakati huu atakuwa sio mzima katika kufikiri kipi ni sahihi au kibaya kwake na kwa nchi yake.
Hatuna kiongozi wa namna hiyo hapa nchini.

LISSU aje tu apambanie haki yake kusafishwa jina lake kwenye kumbukumbu za makosa ya jinai kwenye majalada ya mahakama.
 
Hueleweki wacha kulazimisha, unajaribu kuchanganya kila unachojua kwenye akili yako lakini havi apply, hoja zako hazijitoshelezi.
Sema sijasema ulichokitaka buana... ila kunielewa umenielewa sana sema sasa haviapply kwenye matakwa yako
 
Usiwasemee usiowajua mioyo yao imebeba nini.

Hakuna kisichowezekana hapo.
 
Anaogopa sana maana anajua project yake ya kuleta fujo imekufa kifo cha mende. Waliokuwa wanamdanganya ndio Rais wamemuacha aandamane mwenyewe.
Anaanza kuleta hadithi za kusadikika. Akapambane mahakamani ili awe free bila kuwa na shida yoyote. Siamini kabisa kama kuna mtu anahangaika naye
 
Sema sijasema ulichokitaka buana... ila kunielewa umenielewa sana sema sasa haviapply kwenye matakwa yako
Mifano yako ya Gaddafi nimekuonesha kule juu ulivyoshindwa kuitetea, nimekupa maoni yangu hujayajibu, matokeo yake unakimbilia tu kunilazimisha nikuelewe kwa issue zisizoeleweka, pumzika tu.
 
Yes. Alipokuwa anarudi alijuaje kuwa sasa usalama uko shwari3. Alikuja na agenda ya kuichafua Tanzania ameshindwa. Ana kesi iko mahakamani. Anashindwa kuondoka analeta hadithi za kusadikika
Nyie lini mmewahi kumshinda Lissu mahakamani?!

Acha ndoto zako.
 
Mifano yako ya Gaddafi nimekuonesha kule juu ulivyoshindwa kuitetea, nimekupa maoni yangu hujayajibu, matokeo yake unakimbilia tu kunilazimisha nikuelewe kwa issue zisizoeleweka, pumzika tu.
Wapi nilipokulazimisha😁😁😁
Siwezi kukulazimisha unielewe mimi nimeandika ninachokijua ni uamuzi wako kuelewa au kuacha kama ambavyo sikukulazimisha usimpigie kura Tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…