Seriously, huyu mtu Lisu amecheza Game. Akina Mbowe sasa eleweni presidential bid ya Lisu kama mwakilishi wa CDM haijawahi kuwa in the interest of Chadema. Chama kulikuwa no combo tu cha kukamilisha mlengo binafsi ya mgombea.
Listen, this guy kabla ya kurudi Tanzania, alihakikisha Ana wakili wake binafsi. Mteja wa Amsterdam ni Lisu, siyo Chadema. Then akahahakisha Ana return ticket wit kwa sababu ya medical checkup, meaning kama nai yake ya urais ikishindikana basi angalao atarudi Belgium. Lakini ataishije Belgium bila kazi wala kibali cha kufanya kazi! He wanted a status, political asylum. So, kwa kukimbilia ubalozini, amekamilisha hiatus muhimu kwa yeye to claim a political refugee. Kuanzia sasa kurudi kwake Belgium is no longer habari ya medical checkup, but political na haki zote halali za makazi na kufanya kazi kihali, n.k. All planned and before and all thought of. Fikiria wewe mwana Chadema unayefuata na mihemuko ya kisiasa huu ndo uzalendo na utashi wa kipigania haki by ALL MEANS NECESSARY alikuwa anahubiri Lissu??