Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
wewe umenena,sometimes namfikiria sana Mbowe kwa mabilioni aliyopoteza yakiteketezwa na serikali. angalia Jussa tunaambiwa kavunjwa vunjwa lakini people they dont care. Ni kama wanapigania mifugo ambayo haina akili na utashi
Sema na genge la Mbowe sio maharamiaKama hayo ni ya kweli basi washukuriwe hao wajerumani kwa kumpa hifadhi maana kwa kupuuza taarifa kama hizi kipindi cha nyuma alichakazwa na maharamia mvua ya risasi 32.
Seriously, huyu mtu Lisu amecheza Game. Akina Mbowe sasa eleweni presidential bid ya Lisu kama mwakilishi wa CDM haijawahi kuwa in the interest of Chadema. Chama kulikuwa no combo tu cha kukamilisha mlengo binafsi ya mgombea.
Listen, this guy kabla ya kurudi Tanzania, alihakikisha Ana wakili wake binafsi. Mteja wa Amsterdam ni Lisu, siyo Chadema. Then akahahakisha Ana return ticket wit kwa sababu ya medical checkup, meaning kama nai yake ya urais ikishindikana basi angalao atarudi Belgium. Lakini ataishije Belgium bila kazi wala kibali cha kufanya kazi! He wanted a status, political asylum. So, kwa kukimbilia ubalozini, amekamilisha hiatus muhimu kwa yeye to claim a political refugee. Kuanzia sasa kurudi kwake Belgium is no longer habari ya medical checkup, but political na haki zote halali za makazi na kufanya kazi kihali, n.k. All planned and before and all thought of. Fikiria wewe mwana Chadema unayefuata na mihemuko ya kisiasa huu ndo uzalendo na utashi wa kipigania haki by ALL MEANS NECESSARY alikuwa anahubiri Lissu??
Boss wako alisema atakuingiza barabarani kama akiibiwa kura, vp mliingia barabarani.?Lissu akiguswa hata na unyoya safari hii! , tusije kulaumiana huko mbele ya Safari maana maandiko ya Mungu yanasema Kisasi ni haki, Kisasi kitalipwa tu!
Mkuu, mshaurini Lissu kwamba aache vituko na maigizo!
Hivi si ni Lissu huyu huyu wakati wa kampeni akikuwa anashuka kwenye gari na kutunishiana misuli na Polisi huku akiwaambia nifanyeni chochote mnachotaka?
Si ni Lissu huyu huyu alipowasili toka Ubelgiji alisema haogopi chochote maana hana cha kupoteza? Au alifikir ameshakuwa Rais?
Mwambieni jamaa yenu aache woga na vituko, arudi nyumbani akakae na mkewe, hapo Ubalozini atamnyima hata mkewe haki yake ya ndoa.
Au kama amezoea maisha ya Ulaya mwambieni aombe vibali akaishi huko, aombe vibali kwa kufuata sheria siyo kwa hivyo vituko vyake.
Ah subutuu!Boss wako alisema atakuingiza barabarani kama akiibiwa kura, vp mliingia barabarani.?
Seriously, huyu mtu Lisu amecheza Game. Akina Mbowe sasa eleweni presidential bid ya Lisu kama mwakilishi wa CDM haijawahi kuwa in the interest of Chadema. Chama kulikuwa no combo tu cha kukamilisha mlengo binafsi ya mgombea.
Listen, this guy kabla ya kurudi Tanzania, alihakikisha Ana wakili wake binafsi. Mteja wa Amsterdam ni Lisu, siyo Chadema. Then akahahakisha Ana return ticket wit kwa sababu ya medical checkup, meaning kama nai yake ya urais ikishindikana basi angalao atarudi Belgium. Lakini ataishije Belgium bila kazi wala kibali cha kufanya kazi! He wanted a status, political asylum. So, kwa kukimbilia ubalozini, amekamilisha hiatus muhimu kwa yeye to claim a political refugee. Kuanzia sasa kurudi kwake Belgium is no longer habari ya medical checkup, but political na haki zote halali za makazi na kufanya kazi kihali, n.k. All planned and before and all thought of. Fikiria wewe mwana Chadema unayefuata na mihemuko ya kisiasa huu ndo uzalendo na utashi wa kipigania haki by ALL MEANS NECESSARY alikuwa anahubiri Lissu??
Kama serikali ina utashi wa kulinda maisha yake tueleze uchunguzi kuhusu shambulio lake la mwaka 2017 uko wapi?Tundu Lissu hajawahi kuamini kwamba serikali ina uwezo wa kulinda usalama wake na wa raia wengine. Kihistoria amekua mtu wa kudharau na kukebehi uwezo na weledi wa vyombo vya dola hapa nchini, hata kabla hajapatwa na matatizo ya Dodoma. Na alipokuwa mgonjwa huko Ulaya aliishutumu serikali wazi wazi kwamba ndiyo imehusika kumjeruhi. Sishangai kusikia ametafuta njia mbadala ya kurudi ughaibuni.
Kwa namna alivyokuwa akiishutumu serikali waziwazi kwamba ndio imehusika na shambulio lake, serikali hiyo hiyo (mtuhumiwa namba moja kwa mawazo na maneno ya Lisu mwenye) haiwezi kujishughulisha na uchunguzi wa kesi. Yani ni sawa na wewe unamtuhumu mtu kakufanyia kosa, halafu unataka huyo huyo mtuhumiwa wako akuchunguzie kesi yako!Kama serikali ina utashi wa kulinda maisha yake tueleze uchunguzi kuhusu shambulio lake la mwaka 2017 uko wapi?
Hahahaaa kweli hiyo?Ushahidi basi.
Wa vitisho.
Wa maombi ya hifadhi.
Wa kukataliwa kibali.
Arudi tu huko apewe asylum status aishi,atapewa flat ya kawaida tu na benefit za kumtosha na familia badae watamwambia jiongeze.tuliwai kukutana na waziri mkuu wa Lebanon enzi zake tukipiga box kawaida tu na story kibao akitupa itakua Lissu.huko Belgium ni kwa wale wasiojua tu ni kanchi masikini Europe wamejaa wanasiasa nguli toka DRC,Rwanda na vi nchi kibao vya Africa magharibi na ni wasomi wanagonga kifaransa kama kimakua itakua yeye,ana kazi nzito kwanza kujifunza lugha hiyo kabla kuanza ku-practise uwakili kule.Tundu Lissu hajawahi kuamini kwamba serikali ina uwezo wa kulinda usalama wake na wa raia wengine. Kihistoria amekua mtu wa kudharau na kukebehi uwezo na weledi wa vyombo vya dola hapa nchini, hata kabla hajapatwa na matatizo ya Dodoma. Na alipokuwa mgonjwa huko Ulaya aliishutumu serikali wazi wazi kwamba ndiyo imehusika kumjeruhi. Sishangai kusikia ametafuta njia mbadala ya kurudi ughaibuni.
Anaenda kukumbushia maombi yake ya kupewa hifadhi kama mkimbizi wa kujitakia .... Sio kwa maigizo yote aliyofanya kwenye kampeni.Mkuu, mshaurini Lissu kwamba aache vituko na maigizo!
Hivi si ni Lissu huyu huyu wakati wa kampeni akikuwa anashuka kwenye gari na kutunishiana misuli na Polisi huku akiwaambia nifanyeni chochote mnachotaka?
Si ni Lissu huyu huyu alipowasili toka Ubelgiji alisema haogopi chochote maana hana cha kupoteza? Au alifikir ameshakuwa Rais?
Mwambieni jamaa yenu aache woga na vituko, arudi nyumbani akakae na mkewe, hapo Ubalozini atamnyima hata mkewe haki yake ya ndoa.
Au kama amezoea maisha ya Ulaya mwambieni aombe vibali akaishi huko, aombe vibali kwa kufuata sheria siyo kwa hivyo vituko vyake.
Lijamaa ni lilimbukeni haswa. Kila kitu linafikiri wazungu ndio kimbilio lake.Tundu Lissu hajawahi kuamini kwamba serikali ina uwezo wa kulinda usalama wake na wa raia wengine. Kihistoria amekua mtu wa kudharau na kukebehi uwezo na weledi wa vyombo vya dola hapa nchini, hata kabla hajapatwa na matatizo ya Dodoma. Na alipokuwa mgonjwa huko Ulaya aliishutumu serikali wazi wazi kwamba ndiyo imehusika kumjeruhi. Sishangai kusikia ametafuta njia mbadala ya kurudi ughaibuni.
Serikali huwa haisusi kushughulikia jinai kisa imeshambuliwa kwa maneno. Labda serikali ya TFFKwa namna alivyokuwa akiishutumu serikali waziwazi kwamba ndio imehusika na shambulio lake, serikali hiyo hiyo (mtuhumiwa namba moja kwa mawazo na maneno ya Lisu mwenye) haiwezi kujishughulisha na uchunguzi wa kesi. Yani ni sawa na wewe unamtuhumu mtu kakufanyia kosa, halafu unataka huyo huyo mtuhumiwa wako akuchunguzie kesi yako!
Serikali inaundwa na watu. Wana mioyo, damu na nyama. Mfundisheni mtu wenu kuchagua maneno ya kusema. He is just too confrontational . Often with no good enough reasons to do so.Serikali huwa haisusi kushughulikia jinai kisa imeshambuliwa kwa maneno. Labda serikali ya TFF