Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

CCM hawataki maendeleo wanatumia mda mwingi mrefu kufikiria namna ya kuidhoofisha chadema na kurejesha mfumo wa chama kimoja, pesa inayotumika kudidimiza demokrasia ni pesa nyingi mno ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila kata,vyuo vikuu kila wilaya, viwanda kila kata na kujenga daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba na barabara nzuri vijijini kote siyo miradi yao ya flyover SGR bwawa la umeme ununuzi wa Ndege kwa cash ambayo kila Mtanzania anajua ina ufisadi mkubwa mno
 
Mkuu, mshaurini Lissu kwamba aache vituko na maigizo!

Hivi si ni Lissu huyu huyu wakati wa kampeni akikuwa anashuka kwenye gari na kutunishiana misuli na Polisi huku akiwaambia nifanyeni chochote mnachotaka?

Si ni Lissu huyu huyu alipowasili toka Ubelgiji alisema haogopi chochote maana hana cha kupoteza? Au alifikir ameshakuwa Rais?

Mwambieni jamaa yenu aache woga na vituko, arudi nyumbani akakae na mkewe, hapo Ubalozini atamnyima hata mkewe haki yake ya ndoa.

Au kama amezoea maisha ya Ulaya mwambieni aombe vibali akaishi huko, aombe vibali kwa kufuata sheria siyo kwa hivyo vituko vyake.
Wewe umewahi kupigwa hata risasi moja?............mwenzako alipigwa 16!
 
Ushahidi basi.

Wa vitisho.

Wa maombi ya hifadhi.

Wa kukataliwa kibali.
Naona ya Holland yameisha, labda wafadhili hawakupata value for money! Sasa anakimbilia Ujerumani! Haya aende kula bata kwa miaka 5 tena!
Uchaguzi ukikaribia atarudi ale hela za Ujerumani na mahamusi wapya...
 
Fujo zipi? Mahakamaccm kuna haki huko? Acheni roho mbaya za kuwabambikia kesi kesi wapinzani kwa njia haramu za kishetani

I wish all these cases to be ceased and once and for all being cleared. TL aende kukaa kwa Amani Belgium. Akawatumikie vizuri wazungu
 
Mkuu Lissu kwa sasa ni raia Kama raia wengine anapoona anatishiwa Kuna mamlaka zipo,,,,aende police aripoti na sio ubalozini ....
Kipindi kile alilalamika mara kadhaa kwani alisaidiwaje? Hakupata msaada mpaka yakamfika yaliyomfika. Hivyo anastahili hifadhi. Naweka uchama pembeni. Imani yangu ya dini haishabikii kuuana au kumwaga damu.
 
Kinachosikitisha sasa hivi ni Lissu anasema mabalozi mbalimbali wamefanya juhudi za kufanya mazungumzo na serikali ya Tanzania ili Lissu ahakikishiwe usalama wake, lakini jitihada hazijafanikiwa.
 
Ila hili ni baya sana litakuwa na impact mbaya sana mbele ya jumuia za kimataifa na katika maswala ya kidplomasia,
Haya mambo wangekaa wakayamaliza humu humu ndani wenyewe kwa wenyewe kuliko hivi sasa kuexpose kila kitu kwa wakubwa wa dunia
Hakuna lolote,Huyo mjinga wenu alikuwa anajisikia sana wakati wa kampeni.Si alisema analindwa na jumuia za kimataifa ? Waje sasa wamnyakue.Ni mshenzi tuu!
 
Hii kitu inaweza kuwa na hasara nyingi zaidi kwa Lissu. Polisi wanaweza kudai ushahidi na pia kusema kwamba unapotishiwa maisha tena na watu ambao huwajui hukimbilii ubalozini bali unatoa taarifa polisi.

Harafu hii ‘battle’ ni kama vile Chama kimemsusa (au amekisusa yeye?) na sasa anapigana na watu aina ya Mwamakula. Hatoshinda
Wewe jamaa unaongelea nchi gani au umezaliwa juzi tu. Kupigwa risasi Mara ya kwanza alitoa taarifa polisi adi namba ya gari kawapa lakini mwisho wa siku kapigwa risasi mbele ya nyumba ya waziri mkuu.
 
Wewe mbweha wamekuokota shimo la wapi? Mbona inaonekana ni bonge la fala eti na wewe kichwani una Ubongo kweli? Umejaza kamasi debe mbili na moshi wa Bangi utaweza kuongea nasi? Kwa taarifa yako Kipimo cha ufala uzezeta ushamba JF ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba kidwanzi lakini hakuna anayehangaika nayo watu wapo busy na mada, kama huna Hoja rudi gheto kwa cyprian Musiba kaendelee kuvuta Bangi.
kelele we kima MNYOO rudi m**nduni shimo ulikotoka ndio panakufaa sio JF.
 
Wala sitoshangaa as far as they are concerned muda wa maigizo ushaisha, life goes on.

Lissu kama anataka kuendelea na maigizo atafute watu wengine wa ku promote vipindi vyake, wenzake wako busy na maisha.
Sasa unafanya nini kwenye huu Uzi si ukapambane na maisha huko

kalagabaho
 
Tumeshinda uchaguzi yes.

Maisha yaendelee. Vitisho vikomeshwe.

Serikali itoe tamko kuwa Lissu ni mfaidika wa haki za kikatiba.

Lisu naye akubali kulindwa na serikali maana kama kumdhuru ingefanyika hivyo kipindi cha kampeni kwa sababu mikutano ya hadhara ni risk kubwa kuliko normal life.
Ww jamaa ata haujui nn maana ya ulinzi ngoja nikueleweshe kidogo.

Kwanza wagombea urais wote lazima wapewe ulinzi wa polisi/usalama

So Kama alikua na ulinzi wa polisi Tanzania na angepigwa risasi

1. Wangechafua sifa za polisi na usalama wa Taifa so wasingeweza kufanya upuuzi huo

2. Kama bodigadi/mlinzi yupo na mteja wako kapigwa risasi ww pia hukumu inakuhusu ndo maana wengi wanajiuwa au kukimbia. So nayo ilikua ngumu sababu walinzi wa Lisu Kipindi Cha kampeni ni polisi/usalama
 
Sasa unafanya nini kwenye huu Uzi si ukapambane na maisha huko

kalagabaho
Nadhani ukisoma huu uzi na alichoongea Lissu DW utakuwa umejifunza kitu kama mimi nilivyojifunza kutoka kwa wachangiaji wengine.

Kwenda kujificha kwenye huo ubalozi ni mbinu ya kuchomoka kwa kukwepa aibu baada ya kushindwa vibaya kwa madai ya uzushi usalama wake upo hatarini, pamoja na kukimbia kesi zake.

Hakuna la ziada, ila with him lazima atengeneze drama kwanza.
 
Ww jamaa ata haujui nn maana ya ulinzi ngoja nikueleweshe kidogo.

Kwanza wagombea urais wote lazima wapewe ulinzi wa polisi/usalama

So Kama alikua na ulinzi wa polisi Tanzania na angepigwa risasi

1. Wangechafua sifa za polisi na usalama wa Taifa so wasingeweza kufanya upuuzi huo

2. Kama bodigadi/mlinzi yupo na mteja wako kapigwa risasi ww pia hukumu inakuhusu ndo maana wengi wanajiuwa au kukimbia. So nayo ilikua ngumu sababu walinzi wa Lisu Kipindi Cha kampeni ni polisi/usalama
Acha kuongea uongo.

Pia anaye yule bodigadi wake ambaye amebeba m-bunduki mkuubwa kama gitaa ta tramboline.... anamtosha huyo


Lakini wewe kwa umbea wako haujasoma post yangu yote. Nimeiomba serikali zaidi ya kutoa tamko lakini wampatie ulinzi.

Ni haki yake kuomba hifadhi ya maisha yake. Tunakuwa wa ajabu tukimsusa.

Ujinga wake unaenda kuligharimu Taifa
 
Huyo askofu ataingia kwenye kikao cha KK YA CHADEMA?
 
Back
Top Bottom