Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Angeenda tu kwao Ubelgiji, huku kutokuwa salama ni visingizio visivyo kichwa wala miguu na vimekuja baada ya kukosa urais. Miezi yote miwili ya kampeni, usalama wake ulikuwa Sawa iweje leo?.
Nadhani wewe uelewi. Any assassination attemp akiwa mgombea uraisi impact yake ingekuwa kubwa sana kulinganisha na sasa hivi ambapo sio mgombea uraisi ! Think big my brother
 
..hakuna magirini yoyote.

..Serikali haionyeshi kama ina nia ya kuwakamata waliojaribu kumuua Tundu Lissu.
Najua hupendi kukubali lakini hamna namna. Umeng'ag'ania mawazo ya kikamanda wa ufipa hadi unakufa. Yaani ni mgumu kubadilika kama mlokole flani hivi.
 
kasema hawajui kisha anasema wanatoka hilo kundi la kumuua,😑Huyu ndo mngempa urais huyu hata ukatibu kata mtakua mmemuonea

..amepewa tip, au taarifa za kiitelijensia, na yeye ameamua kuzifanyia kazi.
 
ameomba ukimbizi huku akisema watu waandamane same day.na kumbe si balozi alimtoa polisi ni maafisa ubalozi tu.
Mtu mdogo sana

..ina maana maofisa wadogo wa ubalozi wanaweza kutoa maelekezo kwa jeshi la polisi wamuachie Tundu Lissu?
 
Angeenda tu kwao Ubelgiji, huku kutokuwa salama ni visingizio visivyo kichwa wala miguu na vimekuja baada ya kukosa urais. Miezi yote miwili ya kampeni, usalama wake ulikuwa Sawa iweje leo?.
Nawe ungeenda tu kwenu Burundi, siasa za kuuana na kumwaga damu kisa anawaletea ushindani ktk vyeo vya kisiasa siyo utamaduni wetu watanzania, siasa siyo uadui. Muuaji anaweza kupanga mauaji na vitisho muda wowote haijalishi kabla au baada ya kampeni
 
Wengi wanasumbuka na Tundu Lisu ambaye alikuwa anatoa kebehi na kujifanya yeye ni zaidi ya Mtanzania yoyote yule kwa kuaminishwa kwamba angekuwa rais wa Tanzania. Hakuna msaliti yeyote yule anayeweza kubaki salama kwenye nchi yoyote ile duniani. Matusi ya kuwatukana viongozi nk bila ushahidi wowote ule.

Nampongeza sana JPM kwa kumdharau. Kura zake hazikutosha, huwezi kuwadharau Wapiga kura ati hawawezi kupanda ndege au kuwa na magari ya kuweza kutumia fly overs wakati yeye mwenyewe alipokuwa Mbunge alikuwa na gari ambalo lilinunuliwa na wapiga kura wale wale anaowatukana. Atavuna alichopanda.

Sisi wengine ndege ndio usafiri wetu wa kawaida kama alikuwa halijui hilo alifahamu. Yeye aendelee kuwa shoga tu, maana ni mtaji wake.
 
Mkuu, mshaurini Lissu kwamba aache vituko na maigizo!

Hivi si ni Lissu huyu huyu wakati wa kampeni akikuwa anashuka kwenye gari na kutunishiana misuli na Polisi huku akiwaambia nifanyeni chochote mnachotaka?

Si ni Lissu huyu huyu alipowasili toka Ubelgiji alisema haogopi chochote maana hana cha kupoteza? Au alifikir ameshakuwa Rais?

Mwambieni jamaa yenu aache woga na vituko, arudi nyumbani akakae na mkewe, hapo Ubalozini atamnyima hata mkewe haki yake ya ndoa.

Au kama amezoea maisha ya Ulaya mwambieni aombe vibali akaishi huko, aombe vibali kwa kufuata sheria siyo kwa hivyo vituko vyake.
Sawa tutamfikishia ujumbe.
Humu huwa mnapewa sifa, kumbe kichwa kimejaa vitu vinavyopita katika "puru" teh teh
 
Back
Top Bottom