Wewe umewahi kupigwa hata risasi moja?............mwenzako alipigwa 16!Mkuu, mshaurini Lissu kwamba aache vituko na maigizo!
Hivi si ni Lissu huyu huyu wakati wa kampeni akikuwa anashuka kwenye gari na kutunishiana misuli na Polisi huku akiwaambia nifanyeni chochote mnachotaka?
Si ni Lissu huyu huyu alipowasili toka Ubelgiji alisema haogopi chochote maana hana cha kupoteza? Au alifikir ameshakuwa Rais?
Mwambieni jamaa yenu aache woga na vituko, arudi nyumbani akakae na mkewe, hapo Ubalozini atamnyima hata mkewe haki yake ya ndoa.
Au kama amezoea maisha ya Ulaya mwambieni aombe vibali akaishi huko, aombe vibali kwa kufuata sheria siyo kwa hivyo vituko vyake.
Ukiona neno limekuingia ujue ni msemaji wake!!Kwahiyo Mwamakula kawa msemaji wa Lisu siku hizi?
Lissu akiguswa hata na unyoya safari hii! , tusije kulaumiana kama nchi huko mbele ya Safari maana maandiko ya Mungu yanasema Kisasi ni haki, Kisasi kitalipwa tu!
Naona ya Holland yameisha, labda wafadhili hawakupata value for money! Sasa anakimbilia Ujerumani! Haya aende kula bata kwa miaka 5 tena!Ushahidi basi.
Wa vitisho.
Wa maombi ya hifadhi.
Wa kukataliwa kibali.
Fujo zipi? Mahakamaccm kuna haki huko? Acheni roho mbaya za kuwabambikia kesi kesi wapinzani kwa njia haramu za kishetani
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium?
Kipindi kile alilalamika mara kadhaa kwani alisaidiwaje? Hakupata msaada mpaka yakamfika yaliyomfika. Hivyo anastahili hifadhi. Naweka uchama pembeni. Imani yangu ya dini haishabikii kuuana au kumwaga damu.Mkuu Lissu kwa sasa ni raia Kama raia wengine anapoona anatishiwa Kuna mamlaka zipo,,,,aende police aripoti na sio ubalozini ....
Hakuna lolote,Huyo mjinga wenu alikuwa anajisikia sana wakati wa kampeni.Si alisema analindwa na jumuia za kimataifa ? Waje sasa wamnyakue.Ni mshenzi tuu!Ila hili ni baya sana litakuwa na impact mbaya sana mbele ya jumuia za kimataifa na katika maswala ya kidplomasia,
Haya mambo wangekaa wakayamaliza humu humu ndani wenyewe kwa wenyewe kuliko hivi sasa kuexpose kila kitu kwa wakubwa wa dunia
Wewe jamaa unaongelea nchi gani au umezaliwa juzi tu. Kupigwa risasi Mara ya kwanza alitoa taarifa polisi adi namba ya gari kawapa lakini mwisho wa siku kapigwa risasi mbele ya nyumba ya waziri mkuu.Hii kitu inaweza kuwa na hasara nyingi zaidi kwa Lissu. Polisi wanaweza kudai ushahidi na pia kusema kwamba unapotishiwa maisha tena na watu ambao huwajui hukimbilii ubalozini bali unatoa taarifa polisi.
Harafu hii ‘battle’ ni kama vile Chama kimemsusa (au amekisusa yeye?) na sasa anapigana na watu aina ya Mwamakula. Hatoshinda
kelele we kima MNYOO rudi m**nduni shimo ulikotoka ndio panakufaa sio JF.Wewe mbweha wamekuokota shimo la wapi? Mbona inaonekana ni bonge la fala eti na wewe kichwani una Ubongo kweli? Umejaza kamasi debe mbili na moshi wa Bangi utaweza kuongea nasi? Kwa taarifa yako Kipimo cha ufala uzezeta ushamba JF ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba kidwanzi lakini hakuna anayehangaika nayo watu wapo busy na mada, kama huna Hoja rudi gheto kwa cyprian Musiba kaendelee kuvuta Bangi.
Sasa unafanya nini kwenye huu Uzi si ukapambane na maisha hukoWala sitoshangaa as far as they are concerned muda wa maigizo ushaisha, life goes on.
Lissu kama anataka kuendelea na maigizo atafute watu wengine wa ku promote vipindi vyake, wenzake wako busy na maisha.
Ww jamaa ata haujui nn maana ya ulinzi ngoja nikueleweshe kidogo.Tumeshinda uchaguzi yes.
Maisha yaendelee. Vitisho vikomeshwe.
Serikali itoe tamko kuwa Lissu ni mfaidika wa haki za kikatiba.
Lisu naye akubali kulindwa na serikali maana kama kumdhuru ingefanyika hivyo kipindi cha kampeni kwa sababu mikutano ya hadhara ni risk kubwa kuliko normal life.
Nadhani ukisoma huu uzi na alichoongea Lissu DW utakuwa umejifunza kitu kama mimi nilivyojifunza kutoka kwa wachangiaji wengine.Sasa unafanya nini kwenye huu Uzi si ukapambane na maisha huko
kalagabaho
Waliomnyima ni wapiga kura wake?
Walimnyima pesa za matibabu na akarudi akiamini watampigia kura za Urais.
Vihoja vya upinzani haviishagi
Lini serikali iliwahi kusema inatoa ulinzi kwa Lissu?
Sijui unawaza nje ya box gani, anyway; najua hao "marafiki" zake ndio walimnyima pesa za matibabu alivyoenda kutibiwa nje.
Acha kuongea uongo.Ww jamaa ata haujui nn maana ya ulinzi ngoja nikueleweshe kidogo.
Kwanza wagombea urais wote lazima wapewe ulinzi wa polisi/usalama
So Kama alikua na ulinzi wa polisi Tanzania na angepigwa risasi
1. Wangechafua sifa za polisi na usalama wa Taifa so wasingeweza kufanya upuuzi huo
2. Kama bodigadi/mlinzi yupo na mteja wako kapigwa risasi ww pia hukumu inakuhusu ndo maana wengi wanajiuwa au kukimbia. So nayo ilikua ngumu sababu walinzi wa Lisu Kipindi Cha kampeni ni polisi/usalama