mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Bro unataka nikae hapa nijadili roho ya mtu over maneno tupu?
Hata mwanzo kabla ya kapigwa risasi ilionekana kama drama. Ungekuwa wewe nafikiri ungekuwa umekufa. Acha ujinga na usalama wa watu. Last time alireport mpaka polisi lakini baadae akaishia kupigwa risasi 16. Bora kachukua hatua mapema. Huyo half msukuma haaminiki sana, ana visasi na chuki binafsi.Lissu anapenda drama sana
Alitoa ushahidi.Kwani wakati lisu kipindi kile anatoa taarifa kuwa kuna watu wanamfatilia ULIMUAMINI?
Alitoa ushahidi au maneno?
At least you started talking !This is very sad!
Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake!!??
Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.
Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?
Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Totally unacceptable.
2016 na 2017 alisema hivyo haikutiliwa maanani na ikatokea kweli.Kha! Tundu anapenda drama kama slay queens
Kisa na mkasa wa kulazimisha kwamba maisha yake hatarini ni nini? Ushahidi wa kwamba maisha yake yako hatarini uko wapi?
Nyani Ng'abu nimekupenda sana kwa busara zako pamoja na kuwa na itikadi tofauti na muathirika wa hili janga.This is very sad!
Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake!!??
Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.
Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?
Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Totally unacceptable.
Lissu akiguswa hata na unyoya safari hii! , tusije kulaumiana huko mbele ya Safari maana maandiko ya Mungu yanasema Kisasi ni haki, Kisasi kitalipwa tu!
Wewe Askofu acha kuingilia rizki za watu...hii kazi ya uandishi wa habari ina wenyewe na wamesomea na tamko kama hili ilibidi wapewe wao na walipwe kama utaratibu unavyotaka ili na wao wapate rizki kama wewe unavyopata kanisani kwako kwa kuwaaminisha watu kua unawaunganisha na Mungu ingawa hata ww Mungu hakujui...cha msingi achana na siasa ww endelea kupige mishe kanisani kwako..haya maisha tu..acha kuvamia vamia kazi za watu. Na haya unayoyaongea unaweza kuyathibitisha?? Kingine nikuulize mbona kama hunenepi hivi shida nn??? Acha roho mbaya hahaaa
Ahaaa... Lisu anazuia kitu gani?Ni kweli atauwawa, siasa za jiwe zinafahamika hasa anapokuwa na madaraka. Jiwe ameshajua hiyo miradi yake mikubwa hana uwezo wa kumalizia ndani ya hii miaka mitano, hivyo anataka kulazimisha akae madarakani zaidi ya miaka mitano, lakini anaona Lisu ndio kikwazo kwake. Sasa anatumia madaraka yake kutaka kumpoteza kama bensaa8 nk.
Kwan wakati akiyasema haya si mlikana hivihivi mkasema NI drama....mwsho si mkamtandika na risasi za kuulia tembo na dinosaur.....UWE UNAFIKIRI KABLA YA KUSEMA AU KUANDIKA CHOCHOTE....eti mnataka ushahidi?ili mbadili mbinu....MALIPO NI HAPAHAPA,MUDA UTAONGEAKha! Tundu anapenda drama kama slay queens
Kisa na mkasa wa kulazimisha kwamba maisha yake hatarini ni nini? Ushahidi wa kwamba maisha yake yako hatarini uko wapi?